Wananchi Iringa wahimizwa kunusuru hifadhi
WANANCHI wanaoishi kuzunguka maeneo ya hifadhi za taifa wameshauriwa kunusuru rasilimali zinazoendelea kupotea kutokana na matumizi mabaya ya ardhi katika maeneo hayo. Mratibu wa Mradi wa Kuboresha Mtandao wa Maeneo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV01 Dec
Madiwani Iringa wahimizwa kutatua kero za wananchi
Baraza jipya la Madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Iringa limezinduliwa rasmi huku madiwani hao wakitarajiwa kuanza mara moja kukabiliana na changamoto ya njaa inayoikabili wilaya hiyo.
Zaidi ya watu 70,000 wanakabiliwa na Baa la njaa katika vijiji 43 vya kata tisa katika wilaya hiyo huku Tarafa ya Isimani ikiwa imeathirika zaidi.
Mh.Ponsiano Kayage, mmoja wa madiwani 40 wa halmashauri hiyo wakati akiapa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Iringa katika Mkutano maalum...
9 years ago
Vijimambo07 Sep
MWIGULU NCHEMBA ASABABISHA MAFURIKO IRINGA MJINI,WANANCHI WAAHIDI KUMCHAGUA MWAKALEBELA KWA USTAWI WA IRINGA
![](https://scontent-fra3-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xfp1/v/t1.0-9/11987063_424257781109789_1218270817209739675_n.jpg?oh=d3b25221b0ee98dc26e39703133fe598&oe=566C9D6B)
![](https://scontent-fra3-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xat1/v/t1.0-9/10330376_424257834443117_2590905553608251965_n.jpg?oh=a3f7d44b65f6bae9791174720f3870fa&oe=566E5BB0)
![](https://fbcdn-sphotos-d-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xlp1/v/t1.0-9/11954816_424257594443141_5282530544314119712_n.jpg?oh=13d73bee1c57e97dab5fabcceddde988&oe=567BA70F&__gda__=1454089245_9f13f1afb82220720964f12a406934f0)
11 years ago
Dewji Blog12 May
SSRA wahimizwa kujituma ili mifuko ya hifadhi ya jamii itoe taarifa sahihi kwa wanachama
Mkuu wa Wilayaya Singida, Queen Mlozi
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa Wilaya ya Singida,Queen Mlozi ameihimiza Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kujituma zaidi katika kuhakikisha mifuko mbalimbali ya hifadhi ya jamii inatoa taarifa sahihi kwa wananchi na wanachama watarajiwa juu ya haki zao kabla hawajajiunga.
Amedai kwamba wananchi na wanachama watarajiwa wakizitambua vema haki zao hizo watakuwa wamejengewa uwezo wa kufikia maamuzi sahihi katika kujiunga na...
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Mashirika, wananchi wahimizwa kushirikiana
MASHIRIKA na taasisi za serikali na zisizo za kiserikali nchini, zimeshauriwa kujenga na kuimarisha ushirikiano bora baina yake na wananchi wakiwemo waishio vijijini katika utendaji wao wa kazi, ili kuleta...
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
Wananchi wahimizwa kupanda miti
MKUU wa Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa, Evarista Kalalu, amewataka wananchi wa wilaya hiyo kujenga tabia ya kupanda miti na kutunza mazingira kwa lengo la kukabiliana na changamoto za mabadiliko...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Wananchi wahimizwa kuchangia damu
WANANCHI wametakiwa kujenga utamaduni wa kuchangia damu kwa hiari, ili taifa liweze kuwa na akiba ya kutosha na lifikie malengo ya maendeleo ya milenia. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...
10 years ago
Tanzania Daima15 Sep
Wananchi wahimizwa daftari la wapiga kura
WANANCHI wa Wilaya ya Butiama mkoani Mara, wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la kupiga kura ili uchaguzi utakapofika waweze kupata haki yao ya msingi ya kuwachagua...
10 years ago
Habarileo17 Dec
Wananchi wahimizwa kutunza hati za kusafiria
WATANZANIA wametakiwa kutunza hati zao za kusafiria kwani endapo zitapotea na kuchukuliwa na wahalifu wa kimataifa itasababisha wahalifu hao kuingia kwa urahisi nchini na kufanya uhalifu.