Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wakilazimika kulivunja Bunge la Katiba tutawajibika!

RAIS wangu, taifa linawayawaya halijui pa kushika! Limeingizwa kwenye mzaha aghali kama vile hakuna Mungu! Maswali ni mengi. Watu ambao muda wao wa kutumika umeisha, wanapogeuzwa waganga wa kienyeji na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kulivunja Bunge sasa ni hasara -Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel SittaMWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amesema Katiba ya sasa yenye miaka 50 imewezesha kutungwa kwa sheria na kanuni zinazoleta maumivu kwa wananchi na kusema lengo la kutungwa kwa Katiba mpya ni kuziba mianya hiyo.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI KUHUTUBIA BUNGE NA KULIVUNJA KESHO

  Na Jonas Kamaleki-MAELEZOSpika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anatarajia kulihutubia na kulivunja Bunge la 11 jijini Dodoma kesho Juni 16, 2020.
Bunge hilo lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akifungua Bunge hilo, Rais Magufuli aliainisha viapaumbele kadhaa vya Serikali yake ikiwemo kupambana na rushwa, kukusanya kodi, kupunguza urasimu...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ALIPOHUTUBIA BUNGE NA KULIVUNJA RASMI JANA MJINI DODOMA

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na ujumbe wake pamoja na maafisa wa bunge wakiingia Bungeni tayari kwa hotuba ya mwisho ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma Alhamisi Julai 9, 2015 Marais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa na Mawaziri wakuu wastaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Jaji Joseph Sinde Warioba, Mhe. Frederick Sumaye na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na maafisa...

 

11 years ago

Michuzi

BUNGE LA KATIBA LITAPIMWA NA WANANCHI - TLS

Na woinde shizza,Arusha
Raisi wa Chama cha Wanasheria Tanzania ,Tanganyika Law Society (TLS),Francis Stola amesema kuwa kazi ya Bunge la Katiba itapimwa na wananchi kupitia kura ya maoni ya Katiba inayowapa mamlaka ya kuikataa katiba hiyo ama kuikubali endapo wanaona kuwa maoni yao hayakuzingatiwa.
Licha ya kifungu cha 25 cha sheria ya mabadiliko kutokufafanua madaraka halisi ya tume hiyo lakini pia wametakiwa kutengeneza katiba inayotakiwa na Watanzania walio wengi.
Akizungumza na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Katiba mpya tusingoje wananchi wachome Bunge

MWEZI Oktoba unaingia kwenye historia kama mwezi uliofufua matumaini ya kupata haki kwa nchi za kiafrika kusini mwa Jangwa Sahara. Mapinduzi ya umma yaliyomlazimisha imla wa zamani wa Burkina Faso,...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Kuna dalili Bunge la Katiba litapora mamlaka ya wananchi’

Bunge la Katiba limesitishwa kwa muda baada ya kukutana kwa takribani miezi miwili na nusu na kufanya mijadala muhimu inayolenga kuboresha rasimu ya katiba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rais wangu Kikwete, Bunge la Katiba limewatumbukia nyongo wananchi

RAIS wangu, katika kutaka kuboresha ustawi wao wa hapa duniani wanadamu hujiundia mambo yao kwa nia njema kabisa! Wakati mwingine hayo hayo waliyojiundia wakiwa na nia njema, hugeuka kuwa majanga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani