Wananchi wamsaidia Nape ujumbe kwa Nyerere
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (wa pili kulia) akishirikiana na wanamuziki wa nyimbo za dansi kuimba wimbo maalumu wa kumuaga marehemu John Komba katika Viwanja vya Karimjee juzi. Picha na Venance Nestory
Dar/Mikoani. Wakati wa kumuaga John Komba, ambaye alikuwa mpiga kampeni mashuhuri wa CCM, kada wa chama hicho, Nape Nnauye aliimba “Neenda baba… msalimie Mwalimu (Julius Nyerere), mweleze hali ya Watanzania ilivyo hivi sasa, mweleze hali ya nchi yetu ilivyo wakati huu,” bila...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 Mar
MAOMBOLEZO: Wananchi wamsaidia Nape ujumbe kwa Nyerere
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/1yqffN3hb5k/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-ooyqMiWhI8Y/VU9dNjQFTPI/AAAAAAAAbh0/RsBTxomdHeY/s72-c/1.jpg)
MANGULA NA NAPE WAHANI MSIBA WA JOHN NYERERE
![](http://2.bp.blogspot.com/-ooyqMiWhI8Y/VU9dNjQFTPI/AAAAAAAAbh0/RsBTxomdHeY/s640/1.jpg)
Marehemu John alizaliwa mwaka 1957 jijini Dar es Salaam na enzi za uhai wake alikuwa Kapteni wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akiwa rubani wa kurusha ndege za kivita.Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ni kwamba marehemu amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya mapafu na kisukari kwa muda mrefu.Enzi za uhai wake John alishiriki vita ya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ooyqMiWhI8Y/VU9dNjQFTPI/AAAAAAAAbh0/RsBTxomdHeY/s72-c/1.jpg)
MZEE MANGULA NA NAPE WAHANI MSIBA WA JOHN NYERERE
![](http://2.bp.blogspot.com/-ooyqMiWhI8Y/VU9dNjQFTPI/AAAAAAAAbh0/RsBTxomdHeY/s640/1.jpg)
Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ni kwamba marehemu amefariki baada ya kusumbuliwa na maradhi ya mapafu na kisukari kwa muda mrefu.Enzi za uhai wake John alishiriki vita ya kumng'oa...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/GAEpisZ3Cuk/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-_V_f0dl31KE/ViI4LrSwAuI/AAAAAAABKFo/kd9t1YFszLM/s72-c/790.jpg)
BALOZI SEIF AKUTANA NA UJUMBE WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE
![](http://3.bp.blogspot.com/-_V_f0dl31KE/ViI4LrSwAuI/AAAAAAABKFo/kd9t1YFszLM/s640/790.jpg)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif wa Kwanza kutoka kulia akiuhakikishia Ujumbe wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation kwamba Uchaguzi Mkuu wa Tarehe 25 Mwezi huu utafanyika katika misingi ya haki na amani hapa Zanzibar.
Ujumbe huo unaoongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wake Bwana Joseph Butiku wa Pili kutoka Kushoto up[o Zanzibar kukutana na Viongozi wa ngazi za juu kujaribu kusaidia mawazo ya kuona Taifa linaendelea kudumisha amani iliyopo Nchini. Picha na –OMPR – ZNZ.
Makamu wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/6TuNQOm4NFc/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima30 Jul
Nape ataka wananchi waelimishwe
KUTOKANA na vurugu zilizosababisha na gesi asilia mkoani Mtwara mwaka jana, Serikali imeshauriwa kuwape elimu wananchi kwanza kabla ya kutekeleza mradi wowote katika eneo husika. Ushauri huo umetolewa juzi na...
10 years ago
Mwananchi13 Aug
Wananchi wacharukia ushindi wa Nape Mtama