Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi waua mwizi wa pikipiki

MTU mmoja mwanaume ambaye hakufahamika jina wala umri amefariki dunia baada ya kupigwa na wananchi wenye hasira kali alipokuwa akiiba pikipiki. Tukio hilo lilitokea jana majira ya saa 5:00 asubuhi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WIZI WA BIBLIA WAMPONZA KIBAKA DAR, WANANCHI WAMPA KIPIGO 'PAKA MWIZI'


Na Said Mwishehe,Michuzi TV

KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Ndonga mkazi wa Majumbasita jijini Dar es Salaam amejikuta akipokea kipigo cha 'Paka mwizi' kutoka kwa wananchi wenye hasira kali baada ya kukwapua Biblia ya muumini wa dini ya Kikristo aliyekuwa akielekea Kanisani.

Tukio hilo limetokea leo Juni 7,2020, saa 12 asubuhi Njia Panda ya Segerea eneo la reli ambapo kijana huyo kabla ya kukwapua Bibli hiyo alitoa panga lake na kisha kumpiga na ubapa wa panga mgongoni muumini huyo...

 

11 years ago

Habarileo

Wananchi waua watuhumiwa wa ujambazi

WATUHUMIWA wawili wa ujambazi wameuawa jijini Dar es Dalaam na wananchi katika jaribio la kufanya tukio la uporaji katika eneo la benki ya NMB Wilaya ya Ilala.

 

11 years ago

Habarileo

Wananchi waua majambazi wanne

WATU wanne, watatu wakidaiwa kuwa Wakenya, wanaotuhumiwa kuwa majambazi wameuawa na wananchi mjini hapa.

 

11 years ago

Habarileo

Wananchi waua watatu kwa tuhuma za wizi

WATU watatu wanaodhaniwa kuwa ni vibaka wameuawa na wananchi wenye hasira kwa tuhuma za kuendesha uporaji kwa kuvunja nyumba za watu na kuiba.

 

11 years ago

Michuzi

NMB YAWAKOMBOA VIJANA KIUCHUMI KWA KUWAPA MIKOPO NAFUU YA PIKIPIKI Ni mikopo kwa ajili ya pikipiki za miguu miwili na mitatu

 Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni tatu yaani Fair Deal Auto Private Ltd inayosambaza pikipiki za miguu miwili na mitatu aina ya Bajaji, kampuni ya Car & General Limited Ltd inayosambaza pikipiki za miguu mitatu aina ya TV’S King pamoja na kampuni ya Quality Motors inayosambaza pikipiki za miguu miwili aina ya Honda wameingia ubia ili kuwawezesha wananchi kupata mikopo nafuu ya kumiliki pikipiki za miguu miwili na mitatu.   Hii yote ni katika kuendeleza azma ya NMB inayolenga kubuni...

 

9 years ago

Global Publishers

D’Banj: Olamide si mwizi

imageHATIMAYE, mwimbaji maarufu wa Nigeria, D’Banj, amejibu tuhuma za prodyuza wa muziki, Dee Vee, anayemiliki kampuni ya DB Records kwamba rapa Olamide aliiba mistari kadhaa ya wimbo wake (DeeVee).

Itakumbukwa na wafuatiliaji wa muziki kwamba wiki kadhaa zilizopita, DeeVee alisema Olamide aliiba mstari kutoka katika wimbo wa D’Banj uitwao ‘Shake It’ ambao bado haujatoka.

Hata hivyo, D’Banj amesema hawezi kukiita kitendo hicho kuwa ni wizi bali ni changamoto njema. Alisema kwamba nyumba yake iko...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwizi wa mapenzi akamatwa Austria

Polisi nchini Austria wanawahoji wanawake ambao wamehadaiwa na mwanamume mwenye mazoea ya kuwapenda wanawake wengi tu.

 

10 years ago

GPL

ALIYETUHUMIWA MWIZI WA MTOTO ANASWA!

Dustan Shekidele, Moro SIKU chache baada ya gazeti hili kuripoti kuibiwa kwa mtoto lrene Daniel mwenye umri wa siku 34, mkazi wa Kilakala, mkoani hapa, habari njema ni kwamba mwizi wa mtoto huyo amenaswa laivu, Ijumaa Wikienda lina full stori. Huyu ndio mama aliyeibiwa mtoto wake Mei 8 mwaka huu huko mkoani Morogoro. Mtoto huyo aliibiwa kimafia Mei 8, mwaka huu wakati mama yake Martha Masawe akiwa kwenye foleni katika Kliniki ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

GLAUCOMA “mwizi wa macho wa kimyakimya”

Conjoined twins Apollo hospital

Mwezi Januari kila mwaka jumuiya za kimataifa uungana ili kuongeza uelewa na kujenga ufahamu juu ya ugonjwa wa Glaucoma. Kampeni hii ya mwezi mzima inalenga kuleta tahadhari na kuelimisha juu ya chanzo, sababu na madhara ya ugonjwa huo, kampeni hii pia ulenga kuutaka umma kuchukua hatua madhubuti kabla  ugonjwa huu mbaya haujasababisha athari kubwa. Kutokana na asili ya ugonjwa huu imesababisha ujulikane kama “the sneak thief of sight”, yaani mwizi wa macho anayekuja kwa kunyata. Hii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani