Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wawapa kipigo wafanyakazi Tambaza

VURUGU kubwa zimetokea kati ya wananchi na wafanyakazi wa Kampuni ya Tambaza Auction Mart katika maeneo ya Upanga jijini Dar es Salaam juzi na jana, baada ya wafanyakazi hao kudaiwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ANUSURIKA KIPIGO KUTOKA KWA WANANCHI

Mtuhumiwa (mwenye shati nyeusi) akiwa amedhibitiwa na baadhi ya wananchi. JAMAA mmoja ambaye jina lake halikufahamika  mara moja amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi maeneo ya Morocco, jijini Dar es Salaam , kwa tuhuma za utapeli. (Habari/Picha: Na Gabriel…

 

10 years ago

Mwananchi

Siku wananchi wakichoka kipigo cha askari, nini kitatokea — (1)?

Matukio ya vyombo vya ulinzi na usalama kunyanyasa raia yamekithiri nchini kwetu. Raia wamekuwa wakinyanyaswa, wakiteswa, wakitishwa, wakiumizwa na mara nyingine kupoteza maisha kutokana na kipigo kutoka kwa vyombo vya dola au hata kupata ulemavu wa kudumu katika miili au akili kwa sababu ya kujeruhiwa vibaya na askari wetu.

 

10 years ago

Mwananchi

Siku wananchi wakichoka kipigo cha askari, nini kitatokea ?— 2

Jumapili iliyopita katika sehemu ya kwanza ya makala hii tuliangalia matukio makubwa ambayo yanathibitisha vyombo vya dola vinavyonyanyasa, kuumiza na kutesa raia. Utesaji huo hufanywa kwa makusudi na kinyume cha sheria na Serikali ikiwa haichukui hatua yoyote zaidi ya kusisitiza kuwa vyombo vya dola lazima viendelee na kazi hiyo. Tuliangazia matukio ya vipigo na mauaji ya raia katika sakata la gesi Mtwara, kuuawa kwa mwandishi Daudi Mwangosi kule Iringa na kuuawa kwa wananchi katika Mgodi...

 

10 years ago

Mwananchi

Siku wananchi wakichoka kipigo cha askari, nini kitatokea? — 3

Jumapili iliyopita katika sehemu ya pili ya makala hii tulijadili matukio kadhaa ya vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu vinavyofanywa na askari wetu dhidi ya raia, tuliangalia matukio ya askari jeshi kuvamia na kupiga raia, askari wa maliasili kujeruhi na kuua raia na tabia iliyokithiri ya wafanyabiashara ndogondogo (Wamachinga) kupigwa na kudhulumiwa mali zao. Leo tutaangalia matukio ya wanasiasa kupigwa katika matukio halali ya kikatiba na kidemokrasia, wananchi kuteswa na kuuawa...

 

5 years ago

Michuzi

WIZI WA BIBLIA WAMPONZA KIBAKA DAR, WANANCHI WAMPA KIPIGO 'PAKA MWIZI'


Na Said Mwishehe,Michuzi TV

KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Ndonga mkazi wa Majumbasita jijini Dar es Salaam amejikuta akipokea kipigo cha 'Paka mwizi' kutoka kwa wananchi wenye hasira kali baada ya kukwapua Biblia ya muumini wa dini ya Kikristo aliyekuwa akielekea Kanisani.

Tukio hilo limetokea leo Juni 7,2020, saa 12 asubuhi Njia Panda ya Segerea eneo la reli ambapo kijana huyo kabla ya kukwapua Bibli hiyo alitoa panga lake na kisha kumpiga na ubapa wa panga mgongoni muumini huyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Anguko la Sekondari ya Tambaza

Msemo usemao ‘Wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza’ unatosha kuelezea shule maarufu ambazo zimeporomoka kielimu kwa miaka ya hivi karibuni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tambaza Auction Mart yalalamikiwa

DHULUMA na ubabe unaodaiwa kufanywa na wafanyakazi wa Kampuni ya udalali ya Tambaza Auction Mart ya jijini Dar es Salaam, umelalamikiwa na baadhi ya wamiliki wa magari, hususan malori. Baadhi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tambaza: Msikubali kumalizana kiaina

UONGOZI wa Kampuni ya Tambaza Auction Mart umesema una mkataba wa kufanya kazi Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam na kuwataka wananchi kuheshimu sheria na kutokukubali kumalizana vichochoroni wanapokamatwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tambaza wapigwa ‘stop’ Kinondoni

MEYA wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda, amesema manispaa hiyo haiwatambui, watu wa Kampuni ya Udalali ya Tambaza wanaofanya kazi ya kuwatapeli wananchi katika Manispaa hiyo. Alisema kimsingi mkataba wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani