Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siku wananchi wakichoka kipigo cha askari, nini kitatokea — (1)?

Matukio ya vyombo vya ulinzi na usalama kunyanyasa raia yamekithiri nchini kwetu. Raia wamekuwa wakinyanyaswa, wakiteswa, wakitishwa, wakiumizwa na mara nyingine kupoteza maisha kutokana na kipigo kutoka kwa vyombo vya dola au hata kupata ulemavu wa kudumu katika miili au akili kwa sababu ya kujeruhiwa vibaya na askari wetu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Siku wananchi wakichoka kipigo cha askari, nini kitatokea? — 3

Jumapili iliyopita katika sehemu ya pili ya makala hii tulijadili matukio kadhaa ya vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu vinavyofanywa na askari wetu dhidi ya raia, tuliangalia matukio ya askari jeshi kuvamia na kupiga raia, askari wa maliasili kujeruhi na kuua raia na tabia iliyokithiri ya wafanyabiashara ndogondogo (Wamachinga) kupigwa na kudhulumiwa mali zao. Leo tutaangalia matukio ya wanasiasa kupigwa katika matukio halali ya kikatiba na kidemokrasia, wananchi kuteswa na kuuawa...

 

10 years ago

Mwananchi

Siku wananchi wakichoka kipigo cha askari, nini kitatokea ?— 2

Jumapili iliyopita katika sehemu ya kwanza ya makala hii tuliangalia matukio makubwa ambayo yanathibitisha vyombo vya dola vinavyonyanyasa, kuumiza na kutesa raia. Utesaji huo hufanywa kwa makusudi na kinyume cha sheria na Serikali ikiwa haichukui hatua yoyote zaidi ya kusisitiza kuwa vyombo vya dola lazima viendelee na kazi hiyo. Tuliangazia matukio ya vipigo na mauaji ya raia katika sakata la gesi Mtwara, kuuawa kwa mwandishi Daudi Mwangosi kule Iringa na kuuawa kwa wananchi katika Mgodi...

 

9 years ago

Raia Mwema

Nini kitatokea baada ya Oktoba 25?

BAADA ya harakati na pilika lukuki za vyama vyetu na wanasiasa kusaka fursa ya kumrithi Rais wa A

Evarist Chahali

 

5 years ago

BBCSwahili

Kuzimwa kwa inatneti: Nini kitatokea iwapo mtandao utazimwa?

Intaneti huwa inazimwa mara nyingi wakati wa uchaguzi na baadhi ya nchi huwa wanafungia baadhi ya mitandao.

 

9 years ago

MillardAyo

Kwa kipigo cha Stoke City, huenda siku za Van Gaal Man United zikawa zinahesabika … (+Pichaz&Video)

Ligi Kuu Uingereza imeendelea tena leo December 26 siku ya Boxing Day kwa michezo 10 ila mchezo wa awali ulikuwa kati ya Stoke City dhidi ya Manchester United katika dimba la Britannia lenye uwezo wa kubeba zaidi ya mashabiki 27000 kwa mara moja. Huu ni mchezo wa 18 kwa timu zote mbili ila unatajwa kuwa […]

The post Kwa kipigo cha Stoke City, huenda siku za Van Gaal Man United zikawa zinahesabika … (+Pichaz&Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

Taarifa Sahihi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ0Kuhusu Kifo cha Askari Wake Huko Mbalizi


Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linapenda kutoa taarifa ya kifo cha Askari wake Praiveti Ahadi Mwaka Mwainyokole kilichotokea tarehe 4 Februari 2015 katika mji mdogo wa Mbalizi, Mkoani Mbeya.
Taarifa za mazingira ya kifo cha Askari huyo zimepotoshwa na baadhi ya Vyombo vya Habari na kusababisha mapokeo tofauti kwa wananchi. 

Hali halisi ni kwamba, mnamo tarehe 4 Februari 2015 Askari huyo akiwa na Askari wenzake wanne (4) ambao ni Koplo Bedatu Benard Mloka, Praiveti Thani Hamisi Haji,...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Chama cha Wananchi CUF Chaahidi Uchimbaji Mafuta Ndani ya Siku 100

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha wananchi-CUF- Maalim Seif Sharrif Hamad amesisitiza kuwa anahitaji siku 100 tu kwa Zanzibar kuwa na mamlaka yake kuhusu sera na uchimbaji wa mafuta kisiwani humo. Maalim ametoa msimao huo […]

The post Chama cha Wananchi CUF Chaahidi Uchimbaji Mafuta Ndani ya Siku 100 appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wawapa kipigo wafanyakazi Tambaza

VURUGU kubwa zimetokea kati ya wananchi na wafanyakazi wa Kampuni ya Tambaza Auction Mart katika maeneo ya Upanga jijini Dar es Salaam juzi na jana, baada ya wafanyakazi hao kudaiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani