Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nini kitatokea baada ya Oktoba 25?

BAADA ya harakati na pilika lukuki za vyama vyetu na wanasiasa kusaka fursa ya kumrithi Rais wa A

Evarist Chahali

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Siku wananchi wakichoka kipigo cha askari, nini kitatokea — (1)?

Matukio ya vyombo vya ulinzi na usalama kunyanyasa raia yamekithiri nchini kwetu. Raia wamekuwa wakinyanyaswa, wakiteswa, wakitishwa, wakiumizwa na mara nyingine kupoteza maisha kutokana na kipigo kutoka kwa vyombo vya dola au hata kupata ulemavu wa kudumu katika miili au akili kwa sababu ya kujeruhiwa vibaya na askari wetu.

 

10 years ago

Mwananchi

Siku wananchi wakichoka kipigo cha askari, nini kitatokea ?— 2

Jumapili iliyopita katika sehemu ya kwanza ya makala hii tuliangalia matukio makubwa ambayo yanathibitisha vyombo vya dola vinavyonyanyasa, kuumiza na kutesa raia. Utesaji huo hufanywa kwa makusudi na kinyume cha sheria na Serikali ikiwa haichukui hatua yoyote zaidi ya kusisitiza kuwa vyombo vya dola lazima viendelee na kazi hiyo. Tuliangazia matukio ya vipigo na mauaji ya raia katika sakata la gesi Mtwara, kuuawa kwa mwandishi Daudi Mwangosi kule Iringa na kuuawa kwa wananchi katika Mgodi...

 

10 years ago

Mwananchi

Siku wananchi wakichoka kipigo cha askari, nini kitatokea? — 3

Jumapili iliyopita katika sehemu ya pili ya makala hii tulijadili matukio kadhaa ya vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu vinavyofanywa na askari wetu dhidi ya raia, tuliangalia matukio ya askari jeshi kuvamia na kupiga raia, askari wa maliasili kujeruhi na kuua raia na tabia iliyokithiri ya wafanyabiashara ndogondogo (Wamachinga) kupigwa na kudhulumiwa mali zao. Leo tutaangalia matukio ya wanasiasa kupigwa katika matukio halali ya kikatiba na kidemokrasia, wananchi kuteswa na kuuawa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kuzimwa kwa inatneti: Nini kitatokea iwapo mtandao utazimwa?

Intaneti huwa inazimwa mara nyingi wakati wa uchaguzi na baadhi ya nchi huwa wanafungia baadhi ya mitandao.

 

9 years ago

Mtanzania

Bob Junior: Tutaonana baada ya Oktoba 25

zbobjunior1NA THERESIA GASPER,

PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Raheem Rummy ‘Bob Junior’, amewataka mashabiki wake waonane baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 kwa kuwa sasa amebanwa na shughuli za uhamasishaji wa upigaji wa kura katika
kampeni za wagombea urais.

“Sina mpango wa kuachia wimbo wala albamu yangu kwa sasa, lakini baada ya uchaguzi nitafanya hivyo kwa kuwa nitakuwa na muda mwingi wa kukaa studio na kuandaa muziki mzuri ambao kwa sasa sipati muda huo,” alisema

Bob Junior mkali wa wimbo wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Hii ndiyo nchi ninayoitaka baada ya uchaguzi wa Oktoba 25

Kieneo, Tanzania ni nchi kubwa ambayo wakati mwingine imekuwa vigumu kwangu kuiangalia kama nchi moja, yenye mahitaji yanayofanana kutoka eneo kwenda jingine.

 

9 years ago

GPL

BABA HAJI: TUKUMBUKE KUNA MAISHA BAADA YA OKTOBA 25

Gabriel Ng’osha
Ukweli mtupu! Msanii wa filamu za Kibongo, Haji Adamu ‘Baba Haji’ amewataka Watanzania wakiwemo wanasiasa kutumia busara katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu kwani bado kuna maisha baada ya uchaguzi utakaofanyika Oktoba, 25. Msanii wa filamu za Kibongo, Haji Adamu ‘Baba Haji’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Baba Haji alifunguka:
“Uchaguzi wa mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani