Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaoenda Uholanzi kwa masomo wapewa nasaha

KATIBU Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue amewataka Watanzania wanaopata fursa ya kwenda kusoma nje ya nchi kutokuwa wabinafsi, na badala yake watumie elimu na ujuzi wanaopata kwa manufaa yao na taifa kwa ujumla.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue awaaga Wanafunzi wa Tanzania waliopata Ufadhili wa masomo nchini Uholanzi

Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue akitoa nasaha zake kwa wanafunzi (watanzania) waliopata udhamini kamili wa masomo nchini Uholanzi wakati wa hafla ya kuwaaga wanafunzi hao iliyofanyika 21 Agosti, 2014 nyumbani kwa Balozi eneo la Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Jaap Frederiks akitoa hotuba yake kwa wanafunzi (watanzania) waliopata udhamini kamili wa masomo nchini Uholanzi wakati wa hafla ya kuwaaga wanafunzi hao iliyofanyika 21 Agosti, 2014...

 

9 years ago

Vijimambo

NASAHA NA DUA KWA WATANZANIA WAKATI WA UCHAGUZI

Ndugu Watanzania wenzangu.
Temebakisha siku leo tu kabla ya kuandika Historia mpya ya nchi yetu tuipendayo Tanzania.Tunakaribia kumpata Rais mpya atakaetuongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Kipindi ambacho ni muhimu sana Kwetu na kwa vizazi vyetu kutokana na umuhimu wa upande ambao wananchi tunataka nchi ielekee.
Bila shaka wote tunataka mabadiliko.Tunataka maisha bora,Elimu bora,Miundo Mbinu bora,huduma bora za afya na kijamii,ajira pamoja na Serikali yenye kujali raia wake.Hayo yote...

 

10 years ago

Vijimambo

ZAIDI WANAFUNZI 100 WAPEWA SEMINA YA KUWAJENGEA UWEZO KUANZA SAFARI YA MASOMO KATIKA VYUO VIKUU VYA INDIA NA CHINA

Mkurugenzi wa Global Link Education (GEL) ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Abdulmaliki Mollel akitoa maelezo katika semina ya kuwajengea uwezo wazazi na wanafunzi wanaokwenda kusoma Vyuo Vikuu vya India na China leo katika ofisi zao zilizopo viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
 Meneja Mkuu wa Global Link Education (GEL) ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, David Nsimba akitoa semina ya kuwajengea uwezo wanafunzi wanaokwenda kusoma ...

 

10 years ago

Mwananchi

HOJA BINAFSI: Nasaha kwa Watanzania wanaoulizia wafadhili wa nje

>Mafanikio maishani yanahitaji ,abo mawili; kutojua  na kujiamini,” aliandika mtunzi maarufu wa riwaya, Mark Twain. Zamani shuleni tulisoma vitabu vya Mark Twain vinavyofundishia Kiingereza ulimwengu mzima. Kati ya riwaya ya sifa na sambusa ni The Adventures of Huckleberry Finn.

 

11 years ago

Bongo5

Uholanzi yailaza Brazil 3-0,Uholanzi yashika nafasi ya 3 kombe la dunia

Timu ya taifa ya Uholanzi imeibamiza Brazil 3-0 na kutwaa nafasi ya tatu katika kombe la dunia huko Brazil. Mashabiki wa Brazil waliwazomea wachezaji wao akiwemo kocha Luiz felipe Scolari kwa utendakazi duni katika mechi hizi mbili za mwisho ambazo Brazil imefungwa mabao 10 nayo ikifunga moja. Brazil ilifungua mechi hiyo kwa kasi lakini ikafungwa […]

 

9 years ago

Bongo Movies

Nasaha za Riyama

Msanii nyota wa kike wa filamu , Riyama Ally ametaka wasanii wachanga kutoridhika na mafanikio  madogo wanayoyapata pindi wanapofanikiwa ‘kutoka’ katika fani hiyo.

Akizungumza na NIPASHE, Riyama alisema wasanii wanatakiwa kutoridhika tu na pato la uigizaji, bali pia wajikite katika kutafuta uwezekano wa kuwa pia watayarishaji  wa filamu. Riyama alikuwa akizungumza juu ya fialamu yake mpya ya ‘Sharo Doma’.

Chanzo:Nipashe  

 

10 years ago

Vijimambo

NASAHA ZA BABA MWENYE BUSARA

1. Mwanangu, mwanamke anawezakuwa mkeo, mwingine anaweza kuwamama wa watoto wako, lakini ukipatamwanamke ambae atakuwa kamamama kwako, mama kwa wanao namama kwa familia, tafadhali mwananguusimuache huyo!2. Mwanangu, usimfanye mwanamkewako kuwa ndio wa kupika na kufanyakazi zote za jikoni peke yake, tabia hiyosio nzuri Kwani hata nyakati zetu,mashamba yetu yalijulikana kwa majinayetu wanaume lakini tulifanya kazipamoja!3. Mwanangu, nikikwambia wewe nikichwa cha familia, simaanishi kutunakwa...

 

11 years ago

Habarileo

Kikwete awakumbusha mbali, awapa nasaha

RAIS Jakaya Kikwete, Mama Maria Nyerere na Vicky Nsilo Swai, jana walikuwa miongoni mwa wanafamilia wachache duniani, walioalikwa kuhudhuria maziko ya kifamilia ya mpiganaji vita dhidi ya ubaguzi wa rangi, Nelson Mandela.

 

5 years ago

CCM Blog

MAJALIWA:TUTAENDELEA KUCHUKUA HATUA KWA WATAKAOKATISHA MASOMO KWA WATOTO WA KIKE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai (wa tatu kulia) wakiweka jiwe la Msingi la Shule ya Sekondari ya Wachana  ya Bunge  iliyojengwa na wabunge na kukabidhiwa kwa Serikali Juni 14, 2020. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo na wa pili kulia ni Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson Mwansasu. Kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako na wapili kushoto ni Mbunge wa Urambo na Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani