Nasaha za Riyama
Msanii nyota wa kike wa filamu , Riyama Ally ametaka wasanii wachanga kutoridhika na mafanikio madogo wanayoyapata pindi wanapofanikiwa ‘kutoka’ katika fani hiyo.
Akizungumza na NIPASHE, Riyama alisema wasanii wanatakiwa kutoridhika tu na pato la uigizaji, bali pia wajikite katika kutafuta uwezekano wa kuwa pia watayarishaji wa filamu. Riyama alikuwa akizungumza juu ya fialamu yake mpya ya ‘Sharo Doma’.
Chanzo:Nipashe
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo24 Sep
NASAHA ZA BABA MWENYE BUSARA
11 years ago
Habarileo16 Dec
Kikwete awakumbusha mbali, awapa nasaha
RAIS Jakaya Kikwete, Mama Maria Nyerere na Vicky Nsilo Swai, jana walikuwa miongoni mwa wanafamilia wachache duniani, walioalikwa kuhudhuria maziko ya kifamilia ya mpiganaji vita dhidi ya ubaguzi wa rangi, Nelson Mandela.
10 years ago
Habarileo23 Aug
Wanaoenda Uholanzi kwa masomo wapewa nasaha
KATIBU Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue amewataka Watanzania wanaopata fursa ya kwenda kusoma nje ya nchi kutokuwa wabinafsi, na badala yake watumie elimu na ujuzi wanaopata kwa manufaa yao na taifa kwa ujumla.
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-9rNuS38N3qk/Vf5FzscCXII/AAAAAAAAFog/jYaYc3tpdhQ/s72-c/maxresdefault.jpg)
NASAHA NA DUA KWA WATANZANIA WAKATI WA UCHAGUZI
![](http://3.bp.blogspot.com/-9rNuS38N3qk/Vf5FzscCXII/AAAAAAAAFog/jYaYc3tpdhQ/s640/maxresdefault.jpg)
Temebakisha siku leo tu kabla ya kuandika Historia mpya ya nchi yetu tuipendayo Tanzania.Tunakaribia kumpata Rais mpya atakaetuongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Kipindi ambacho ni muhimu sana Kwetu na kwa vizazi vyetu kutokana na umuhimu wa upande ambao wananchi tunataka nchi ielekee.
Bila shaka wote tunataka mabadiliko.Tunataka maisha bora,Elimu bora,Miundo Mbinu bora,huduma bora za afya na kijamii,ajira pamoja na Serikali yenye kujali raia wake.Hayo yote...
10 years ago
Mwananchi01 Mar
HOJA BINAFSI: Nasaha kwa Watanzania wanaoulizia wafadhili wa nje
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SDhgST2Am3WKSjyltRAkvklhv2pdg*GlKDZbdKuVmBinTuOoyJR93N-52R3J7lkGwuLg520aQ8gSGMGlRJN96eDYrD3J6BQ8/RIYAMA.gif?width=650)
RIYAMA LAIVU!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KjzU17zlGiZaSmWxPS4uCIrw7oJzmpMv8JKPRKSQ5x**uOpU5sHv7tT87G8kIBRnSsfn7gcf-JTM-P3-cxLT-xhKiS6jjXzt/riyama.jpg)
ALIYEZAA NA RIYAMA ANASWA!
10 years ago
Bongo Movies15 Jul
Riyama:Naendelea Vizuri
Alhamdulilah sijambo kiasi na mshukuru MUNGU NINA MALARIA WADUDU WAWILI na tumbo la chango chamoto nimekiona kwa muda mfupi tu waungwana wangu mwenye dawa nzuri ya tumbo la chango tusaidiane dah nimebebwa wallah nguvu zote kwisha asante sana kwa familia yangu na kwa mume Wangu mtarajiwa @leomysteriotz pia shukran kwa Mikumihospital Mungu awajazekheri ishalah Amin duwa zenu vipenzi vyangu
Riyama Ally on instagram
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdio-d2kTvwCl7IQ7hGkHwwpL2nRb0Kq*tE10a1k-X-csnxRR0NRQsHdZDKyl79sCx9-JWdmGxOO3e8wcMGBXxi5/frank1.jpg?width=650)
FRANK: RIYAMA ANANIZIBIA!