WANAOFICHA ‘MAKUCHA’ KABLA YA NDOA NI HATARI ZAIDI!
![](http://api.ning.com:80/files/oj4MhhoM4fSCIForGdfUCdSaVmQ8mIsgc1p7zTvkvv489z9xD1TLDIXXDZGM0ADisfr1o1ez4TVwb*zUCEGDRjuO3vPhmEeQ/xxlv.jpg)
NIJumanne nyingine, namshukuru Mungu ameniwezesha kuifikia kwa namna yoyote ile! Jumanne yetu ya leo tutakuwa na mada isemayo ‘wanaoficha ‘makucha’ kabla ya ndoa ni hatari zaidi’. Nimelifungia neno ‘makucha’ kwa sababu kimazoea tunaita hivyo lakini kiuhalisia si makucha ni kucha. Zikiwa nyingi, ikiwa moja ni kucha! Kuna wanaoficha makucha kabla ya ndoa ni msemo au hoja ambayo ipo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo09 Dec
WANAOFICHA ‘MAKUCHA’ KABLA YA NDOA NI HATARI ZAIDI!
Jumanne yetu ya leo tutakuwa na mada isemayo ‘wanaoficha ‘makucha’ kabla ya ndoa ni hatari zaidi’.
Nimelifungia neno ‘makucha’ kwa sababu kimazoea tunaita hivyo lakini kiuhalisia si makucha ni kucha. Zikiwa nyingi, ikiwa moja ni kucha!
Kuna wanaoficha makucha kabla ya ndoa ni msemo au hoja ambayo ipo miongoni mwa jamii yetu! Wengi hudai wapo wanawake au wanaume wenye tabia hii! Kwamba, kabla hajaolea au hajaoa...
11 years ago
MichuziBARABARA KIJICHI - MBAGALA KUU NI HATARI ZAIDI YA HATARI!
10 years ago
Dewji Blog08 Apr
Tahadhari kabla ya hatari: Manispaa ya Singida mko wapi?
Jengo linalotumiwa na wafanyabiashara wa Tumbaku soko kuu mjini Singida,likiwa limechaa na kukosa sifa ya kutumiwa kwa hofu ya kuhatarisha maisha ya wafanyabiashara hao pamoja na wateja wao. Pamoja na kuchakaa kwa kiwango kikubwa, lakini manispaa ya Singida inajipatia ushuru kutoka kwa wafanyabiashara wa Tumbaku ambao wamedai wameililia manispaa hiyo kuliboresha,lakini juhudi zao zimeshindwa kuzaa matunda.(Picha naNathaniel Limu).
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya Corona: Kwa nini ugonjwa huo ni hatari zaidi kwa wanaume zaidi ya wanawake
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Wanaotaka kuvunjwa kwa SUK Zanzibar, wachukue hadhari kabla ya hatari
11 years ago
BBCSwahili06 Jan
Ngono kabla ya ndoa haikubaliki
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oJI0y6HlVvTrcHadG1w6kWZZE75AnscgoTydi3WnEi7KWkj4LIQH76ubueVSNnCjb7j5l0cMsO4A-vAYK865mvBAHbgueD4q/BiHarusi.jpg?width=650)
BI. HARUSI ATOWEKA SIKU 4 KABLA YA NDOA
10 years ago
Vijimambo10 May
DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.
![](https://scontent-iad.xx.fbcdn.net/hphotos-xpa1/v/t1.0-9/p240x240/11200587_909761035753767_7843757387391072959_n.jpg?oh=4ca697f286dccbefbfa5b80acd7b4563&oe=55C83211)
Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-s791mYLaKJk/Vh9aTSnc3VI/AAAAAAAIAA0/DoA1Wu0BYDc/s72-c/image_1.jpeg)
JE MALI ILIYOPATIKANA KABLA YA NDOA INAHESABIKA NI YA FAMILIA ?.
![](http://1.bp.blogspot.com/-s791mYLaKJk/Vh9aTSnc3VI/AAAAAAAIAA0/DoA1Wu0BYDc/s320/image_1.jpeg)