Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaotaka tiketi ya Republican washambuliana kwenye mdahalo

Wanaowania nafasi ya kuwania urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican walijibizana vikali kwenye mdhahalo wa tatu ulioandaliwa Colorado.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Trump akosolewa mdahalo wa Republican

Wagombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani wamejibizana kuhusu njia bora zaidi za kudumisha usalama wa taifa na kukabiliana na Islamic State (IS) kwenye mdahalo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wafungwa wabwaga wanafunzi wa Harvard kwenye mdahalo

Wafungwa kutoka New York wimeshinda mdahalo dhidi ya kundi kutoka Chuo Kikuu cha Harvard, chuo kilichoorodheshwa bora zaidi duniani.

 

10 years ago

Mwananchi

Prof Lipumba, Zitto DK Slaa, kuvaana kwenye mdahalo

Umoja wa watendaji wakuu wa kampuni wa CEO RoundTable (CEOrt) umeandaa mdahalo wa kuzungumzia mbio za urais utakaowahusisha viongozi wa vyama vya upinzani, Profesa Ibrahim Lipumba, Dk Willibrod Slaa, Zitto Kabwe na Emmanuel Makaidi, lakini Chadema imesema itakuwa tayari kwa midahalo baada ya mchakato wa ndani kukamilika.

 

10 years ago

Vijimambo

Haya ndio majibu ya Viongozi wa Vyama vya Upinzani kwenye Mdahalo kuhusu Changamoto za TZ.. (Audio & Pichaz)

June 08 2015 ilikuwa siku ambayo Historia ilianza kuandikwa TZ kwenye ishu za Siasa, ulifanyika Mdahalo wa KWANZA wa Wagombea ambao wametangaza nia Kugombea Urais TZ kupitia CCM.
Kutokana na sababu mbalimbali Wagombea wengi hawakujitokeza, Mgombea mmoja Balozi Amina Salum Ali ndio Mgombea pekee aliejitokeza kwenye mdahalo huo.
June 18 2015 ilikuwa zamu ya Viongozi mbalimbali wa Vyama vya Upinzani kukutana pale Hyatt Regency Hotel kwenye Mdahalo huo na kujadili ishu mbalimbali zinazoihusu...

 

9 years ago

Mtanzania

Zitto, Kafulila washambuliana

mtz1*Watuhumiana kwa wivu wa kisiasa, ushirikina

*Daraja la Kikwete Lawatesa

 

NA MWANDISHI WETU

WANASIASA wawili maarufu hapa nchini ambao wamekuwa na uhusiano wa kikazi na binafsi, wamefarakana.

Wanasiasa hao, Zitto Kabwe aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini na David Kafulila aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, kila mmoja anamshutumu mwenzake kwa kuwa na jicho la wivu wa kisiasa na kufikia kushambuliana kwa maneno makali kwenye mitandao ya kijamii.

Vita hiyo ya maneno kwenye mitandao ya kijamii...

 

11 years ago

BBCSwahili

Washambuliana ndani ya Hekalu India

Watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya waumini wa Sikh wakiwa wamejihami kwa mapanga kushambuliana katika hekalu nchini India.

 

9 years ago

BBCSwahili

Paris: Wagombea wa Democratic washambuliana

Wagombea wa urais wa Marekani katika chama cha Democratic wamemshambulia bi , Hilary Clinton,wakisema ni sharti dunia ipambane na itikadi za kigaidi

 

10 years ago

Bongo5

Mamia wafurika kuangalia #Furious7 kwa mara ya kwanza kwenye majumba ya sinema Dar tiketi zaisha

Filamu ya Fast & Furious 7 imezinduliwa leo April 3 duniani kote. Tanzania ni moja ya nchi zilizoionesha filamu hiyo kwa mara ya kwanza. Hamu kubwa ya mashabiki wa filamu nchini, imeyafanya majumba ya sinema jijini Dar es Salaam kuuza tiketi nyingi kuliko kawaida. Meneja wa Century Cinemax iliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam, […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani