Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Washambuliana ndani ya Hekalu India

Watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya waumini wa Sikh wakiwa wamejihami kwa mapanga kushambuliana katika hekalu nchini India.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Zitto, Kafulila washambuliana

mtz1*Watuhumiana kwa wivu wa kisiasa, ushirikina

*Daraja la Kikwete Lawatesa

 

NA MWANDISHI WETU

WANASIASA wawili maarufu hapa nchini ambao wamekuwa na uhusiano wa kikazi na binafsi, wamefarakana.

Wanasiasa hao, Zitto Kabwe aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini na David Kafulila aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, kila mmoja anamshutumu mwenzake kwa kuwa na jicho la wivu wa kisiasa na kufikia kushambuliana kwa maneno makali kwenye mitandao ya kijamii.

Vita hiyo ya maneno kwenye mitandao ya kijamii...

 

9 years ago

BBCSwahili

Paris: Wagombea wa Democratic washambuliana

Wagombea wa urais wa Marekani katika chama cha Democratic wamemshambulia bi , Hilary Clinton,wakisema ni sharti dunia ipambane na itikadi za kigaidi

 

9 years ago

BBCSwahili

India: Watu 2 ndani kubaka mtoto wa miaka 2

Polisi mjini Delhi, India wamewakamata vijana wawili, wanaotuhumiwa kwa ubakaji wa mtoto wa miaka mwili.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanaotaka tiketi ya Republican washambuliana kwenye mdahalo

Wanaowania nafasi ya kuwania urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican walijibizana vikali kwenye mdhahalo wa tatu ulioandaliwa Colorado.

 

5 years ago

BBCSwahili

India: Wanaume wanne wanyongwa kwa kumbaka mwanamke ndani ya basi

Wanaume hao walishitakiwa kwa kumbaka na kumuua mwanamke katika mji mkuu wa India

 

9 years ago

BBCSwahili

Hekalu la Palmyra limeharibiwa kabisa-UN

Umoja wa Mataifa umesema kuwa picha zilizonaswa na satelite zimethibitisha kuwa hekalu la Palmyra Kaskazini mwa Syria umeharibiwa

 

10 years ago

Vijimambo

Mbunge ahoji hekalu la mwenzake kutobomolewa.

Mbunge wa Viti Maalum, Ester Bulaya (CCM).
Mbunge wa Viti Maalum, Ester Bulaya (CCM) (pichani), ameishambulia Serikali hususani Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (Nemc) kuwa ndumila kuwili kwa kushindwa kubomoa hekalu lililojengwa eneo la Mbezi Beach, Dar es Salaam.

Bila kumtaja anayemiliki hekalu hilo, Esther alisema kuwa baadhi ya watu waliojenga majumba katika maneo yasiyoruhusiwa kisheria, wameketi upande wa kulia na kushoto kwake bungeni humo.

Alisema hayo wakati...

 

10 years ago

GPL

NISHA AZUA TAHARUKI HEKALU LA FREEMASON

Stori: Richard Bukos
STAA wa sinema za Kibongo, Salma Jabu 'Nisha', Jumanne iliyopita alijikuta akizua taharuki kufuatia kuegesha gari lake nje ya Hekalu la Freemason lililopo nyuma ya Hyatt Regency Dar es Salaam The Kilimanjaro Hotel jijini Dar es Salaam. Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu 'Nisha'. Taharuki hiyo ilikuja pale Nisha alipoegesha gari lake eneo hilo na kushuka kisha wanafunzi na watu wengine kusitisha...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Ronaldo aonyesha hekalu lake Hispania

ronaldo6

Mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amewaonesha mashabiki mjengo wake wa kifahari kupitia video, wenye thamani ya pauni milioni 4.8.

ronaldo6

Hekalu hilo lipo La Finca sehemu ya Pozuelo de Alarcon – kitongoji cha wasomi kilomita 10 magharibi mwa wilaya ya Moncloa, Madrid pia iko karibu na nyumba za wachezaji mwenzake Gareth Bale na gwiji wa Ufaransa, Zinedine Zidane.

Akiwa na mpiga picha wa kampuni ya Unscripted Sport, Ronaldo ambaye analipwa pauni 288,000 kwa wiki baada ya kukatwa kodi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani