Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto, Kafulila washambuliana

mtz1*Watuhumiana kwa wivu wa kisiasa, ushirikina

*Daraja la Kikwete Lawatesa

 

NA MWANDISHI WETU

WANASIASA wawili maarufu hapa nchini ambao wamekuwa na uhusiano wa kikazi na binafsi, wamefarakana.

Wanasiasa hao, Zitto Kabwe aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini na David Kafulila aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, kila mmoja anamshutumu mwenzake kwa kuwa na jicho la wivu wa kisiasa na kufikia kushambuliana kwa maneno makali kwenye mitandao ya kijamii.

Vita hiyo ya maneno kwenye mitandao ya kijamii...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kafulila ’apigwa dafrao’ jina la Zitto

MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe juzi jioni alijikuta akishangiliwa katika mkutano uliokuwa ukihutubiwa na mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Edward Lowassa licha ya baadhi ya wazungumzaji katika mkutano huo kutoa maneno ya kumponda Zitto.

 

11 years ago

GPL

KATIBU MKUU NISHATI NA MADINI AWASHAMBULIA ZITTO, KAFULILA

SAKATA linalohusu kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), limechukua sura mpya baada ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, kuwashambulia kwa maneno makali, wabunge wawili Zitto Kabwe wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA) na David Kafulila wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi). Maswi ametumia maneno makali kwa kuyarudia, akikejeli nyaraka zinazotajwa kuwa ni ushahidi wa jinsi IPTL...

 

9 years ago

BBCSwahili

Paris: Wagombea wa Democratic washambuliana

Wagombea wa urais wa Marekani katika chama cha Democratic wamemshambulia bi , Hilary Clinton,wakisema ni sharti dunia ipambane na itikadi za kigaidi

 

11 years ago

BBCSwahili

Washambuliana ndani ya Hekalu India

Watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya waumini wa Sikh wakiwa wamejihami kwa mapanga kushambuliana katika hekalu nchini India.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanaotaka tiketi ya Republican washambuliana kwenye mdahalo

Wanaowania nafasi ya kuwania urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican walijibizana vikali kwenye mdhahalo wa tatu ulioandaliwa Colorado.

 

11 years ago

Michuzi

IPTL VS KAFULILA

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi)Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) na Pan Africa Power Solutions (T) Ltd, Joseph Mwakandege akizungumza na waandishi wa habari kuhusu sakata la ununuzi wa IPTL. Kushoto ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya IPTL na PAP, Harbinder Singh Sethi.  Habari na Mwene Said wa Blogu ya Jamii.  KAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania (IPTL), imewasilisha maombi Mahakama Kuu...

 

11 years ago

Habarileo

Kafulila kizimbani

KAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imemfungulia kesi Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ikimtaka aombe radhi na kulipa fidia ya Sh bilioni 310.

 

11 years ago

Mwananchi

Kafulila asisimua Bunge

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, David Kafulila jana aligeuka shujaa bungeni na kubebwa juujuu na wajumbe wenzake kutoka kundi la walio wachache baada ya ‘kusambaratisha’ hoja za wajumbe wanaopinga Serikali tatu.

 

10 years ago

TheCitizen

Kafulila’s motion turned down

>Kigoma South MP David Kafulila (NCCR-Mageuzi) has continued to press the government to bring in Parliament a report compiled by the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) on the Tegeta escrow account scandal.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani