Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kafulila asisimua Bunge

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, David Kafulila jana aligeuka shujaa bungeni na kubebwa juujuu na wajumbe wenzake kutoka kundi la walio wachache baada ya ‘kusambaratisha’ hoja za wajumbe wanaopinga Serikali tatu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kafulila: watimueni kabla ya Bunge

>Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila amesema kuna kila sababu wahusika wote wa sakata la uchotwaji Sh306 bilioni kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow, wawe wamefukuzwa kazi kabla ya kuanza kwa mkutano ujao wa 18 wa Bunge.

 

11 years ago

Michuzi

Mwakilishi wa walio wachache bunge maalum la katiba Mhe.David Kafulila ashangiliwa

 Mwakilishi wa walio wachache  katika kamati namba tano, Mhe.David Kafulila akiwasilisha mapendekezo ya walio wachache katika kamati yake na Deusdedit Moshi  Mwakilishi wa walio wachache  katika kamati namba tano,Mhe.David Kafulila katikati akishangiliwa na baadhi ya wajumbe baada ya kuwasilisha mapendekezo ya walio wachache katika kamati yake Picha na na Deusdedit Moshi  Mwakilishi wa waliowachache  katika kamati namba tano,Mhe.David Kafulila katikati akishangiliwa na baadhi ya wajumbe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kificho asisimua makundi ya urais CCM

MZAHA wa Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kwa wajumbe wa Bunge hilo kuhusu kuwepo kikao cha makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotajwa kuutaka...

 

11 years ago

Michuzi

IPTL VS KAFULILA

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi)Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) na Pan Africa Power Solutions (T) Ltd, Joseph Mwakandege akizungumza na waandishi wa habari kuhusu sakata la ununuzi wa IPTL. Kushoto ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya IPTL na PAP, Harbinder Singh Sethi.  Habari na Mwene Said wa Blogu ya Jamii.  KAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania (IPTL), imewasilisha maombi Mahakama Kuu...

 

11 years ago

Habarileo

Kafulila kizimbani

KAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imemfungulia kesi Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ikimtaka aombe radhi na kulipa fidia ya Sh bilioni 310.

 

11 years ago

Habarileo

Makinda- Kafulila mchokozi

SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amesema Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila ndiye aliyemchokoza kwa makusudi Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema naye akajikuta akipandwa na hasira na kumuita Mbunge huyo tumbili.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Kafulila amchefua Werema



 Anusurika kuchapwa makonde bungeni  Sitta, Wasira waingilia kati kumwokoa
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), jana alichafua hali ya hewa bungeni na kunusurika kuchapwa makonde kwa kumtolea kauli za kuudhi Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema.

Pia Kafulila ametakiwa kukabidhi ushahidi alio nao kuhusiana na malipo yaliyofanywa kwa Kampuni ya IPTL kupitia akaunti ya Escrow kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU),...

 

9 years ago

Mtanzania

Zitto, Kafulila washambuliana

mtz1*Watuhumiana kwa wivu wa kisiasa, ushirikina

*Daraja la Kikwete Lawatesa

 

NA MWANDISHI WETU

WANASIASA wawili maarufu hapa nchini ambao wamekuwa na uhusiano wa kikazi na binafsi, wamefarakana.

Wanasiasa hao, Zitto Kabwe aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini na David Kafulila aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, kila mmoja anamshutumu mwenzake kwa kuwa na jicho la wivu wa kisiasa na kufikia kushambuliana kwa maneno makali kwenye mitandao ya kijamii.

Vita hiyo ya maneno kwenye mitandao ya kijamii...

 

10 years ago

TheCitizen

Kafulila’s motion turned down

>Kigoma South MP David Kafulila (NCCR-Mageuzi) has continued to press the government to bring in Parliament a report compiled by the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) on the Tegeta escrow account scandal.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani