Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaotakiwa Uganda wagoma kurejeshwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi KisutuWATU wawili wanaodaiwa kuwa wafuasi wa kundi la Uasi la ADF, wamegoma kurudishwa nchini kwao wakashitakiwe, na kuiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kupeleka jambo hilo kwa Waziri wa Katiba na Sheria kwa kuwa halina uhusiano wowote na kesi ya mauaji nchini humo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kamanda wa waasi wa ADF kurejeshwa Uganda

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard MembeSERIKALI ya Tanzania inatarajia kumpeleka Uganda Kamanda wa Kikosi cha Waasi cha ADF cha Uganda, Jamil Mukumu aliyekuwa akitafutwa muda mrefu hapa nchini na Shirika la Kimataifa la Polisi (Interpol).

 

11 years ago

Michuzi

WALIMU WANAOTAKIWA KUJIUNGA NA JKT WATAJWA

Hatimaye jeshi la kujenga taifa limetangaza majina ya walimu ambao wanatakiwa kupitia jkt kwa ajili ya mafunzo MAALUM kama ilivyo kwa kidato cha sita,yajulikanayo kama mafunzo kwa  mujibu wa sheria.
Walimu waliochaguliwa ni wa ngazi ya cheti ambao wamepangiwa vikosi vya kwenda.Kuangalia majina hayo tafadhali BOFYA hapo chini;

BUROMBOLA - KIGOMA

RWAMKOMA - MUSOMA

MSANGE - TABORA

KANEMBWA - KIGOMA

RUVU - PWANI

OLIJORO - ARUSHA

MGAMBO  - TANGA

MARAMBA - TANGA

MAFINGA -...

 

9 years ago

Michuzi

WANAOTAKIWA KUSTAAFU WASIPEWE MIKATABA YA KUENDELEA NA KAZI SERIKALINI - MH. KAIRUKI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akitoa maelekezo kwa watumishi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu-Utumishi. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akizungumza na watumishi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu-Utumishi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mabaki ya MH 17 kurejeshwa Uholanzi

mabaki ya ndege ya shirika la ndege la Malaysia MH 17 yaliyookotwa huko mashariki mwa Ukraine hatimaye yanarejeshwa Uholanzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mamilioni ya dola kurejeshwa Switzerland

Serikali ya Switzerland inatarajiwa kurejesha kiasi cha dola za Kimarekani milioni 340 yaliyoibwana na Rais Sani Abacha Nigeria.

 

10 years ago

GPL

BOBBI KRISTINA KUREJESHWA NYUMBANI

Mtoto wa aliyekuwa mwimbaji mwenye sauti ya mvuto, Marehemu Whitney Houston, Bobbi Kristina. Georgia, Marekani
MTOTO wa aliyekuwa mwimbaji mwenye sauti ya mvuto, Marehemu Whitney Houston, Bobbi Kristina ambaye ni mgonjwa amepangwa kurejeshwa nyumbani huku hali yake ikiwa bado haijatengamaa. Bobbi Kristina akiwa na babaa'ke, Bobby Brown.
Kristina, 22, ambaye kwa sasa analelewa na Bobby Brown, yupo hospitali kwa miezi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wambura kurejeshwa tena leo?

KAMATI ya Rufaa ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), inatarajiwa kukutana leo mchana kupitia rufaa ya mgombea wa nafasi ya urais wa klabu ya Simba, Michael Wambura, anayepinga...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Watanzania waishio Yemen kurejeshwa


NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imedhamiria kuwarudisha nchini Watanzania waishio Yemeni, kutokana na mapigano yanayoendelea nchini humo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh.

Alisema ni jukumu la serikali kuhakikisha kuwa Watanzania hao ambao wengi ni wanafunzi, wanarudi nchini wakiwa salama. 
Membe alisema awamu ya kwanza ya kuwarudisha ilifanyika hivi karibuni chini ya uratibu...

 

10 years ago

Habarileo

Watoro kusakwa na kurejeshwa shule

SERIKALI mkoa wa Rukwa imeagiza watoto, waliokatiza masomo yao kwa utoro wasakwe na kurejeshwa shuleni mara moja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani