Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabaki ya MH 17 kurejeshwa Uholanzi

mabaki ya ndege ya shirika la ndege la Malaysia MH 17 yaliyookotwa huko mashariki mwa Ukraine hatimaye yanarejeshwa Uholanzi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Uholanzi yailaza Brazil 3-0,Uholanzi yashika nafasi ya 3 kombe la dunia

Timu ya taifa ya Uholanzi imeibamiza Brazil 3-0 na kutwaa nafasi ya tatu katika kombe la dunia huko Brazil. Mashabiki wa Brazil waliwazomea wachezaji wao akiwemo kocha Luiz felipe Scolari kwa utendakazi duni katika mechi hizi mbili za mwisho ambazo Brazil imefungwa mabao 10 nayo ikifunga moja. Brazil ilifungua mechi hiyo kwa kasi lakini ikafungwa […]

 

10 years ago

Habarileo

Watoro kusakwa na kurejeshwa shule

SERIKALI mkoa wa Rukwa imeagiza watoto, waliokatiza masomo yao kwa utoro wasakwe na kurejeshwa shuleni mara moja.

 

9 years ago

Mtanzania

Wafurahi mgombea Chadema kurejeshwa

NA EMMANUEL IBRAHIM

WANANCHI wa Geita Mjini wamesema wamefurahia kurudishwa jina la mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema, Rogers Luhega, kwa vile amekuwa mtetezi wa masuala ya maji na wachimbaji wadogo migodini.

Wlikuwa wakizungumza juzi wakati wanatoka kumsindikiza mgombea huyo kurudisha fomu ya kuwania jimbo hilo ambalo kwa muda mrefu linashikiliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kwa mujibu wa wananchi hao, mbali na changamoto zinazowakabili, wilaya na Mkoa wa Geita ni miongoni mwa maeneo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mamilioni ya dola kurejeshwa Switzerland

Serikali ya Switzerland inatarajiwa kurejesha kiasi cha dola za Kimarekani milioni 340 yaliyoibwana na Rais Sani Abacha Nigeria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wambura kurejeshwa tena leo?

KAMATI ya Rufaa ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), inatarajiwa kukutana leo mchana kupitia rufaa ya mgombea wa nafasi ya urais wa klabu ya Simba, Michael Wambura, anayepinga...

 

10 years ago

GPL

BOBBI KRISTINA KUREJESHWA NYUMBANI

Mtoto wa aliyekuwa mwimbaji mwenye sauti ya mvuto, Marehemu Whitney Houston, Bobbi Kristina. Georgia, Marekani
MTOTO wa aliyekuwa mwimbaji mwenye sauti ya mvuto, Marehemu Whitney Houston, Bobbi Kristina ambaye ni mgonjwa amepangwa kurejeshwa nyumbani huku hali yake ikiwa bado haijatengamaa. Bobbi Kristina akiwa na babaa'ke, Bobby Brown.
Kristina, 22, ambaye kwa sasa analelewa na Bobby Brown, yupo hospitali kwa miezi...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Watanzania waishio Yemen kurejeshwa


NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imedhamiria kuwarudisha nchini Watanzania waishio Yemeni, kutokana na mapigano yanayoendelea nchini humo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh.

Alisema ni jukumu la serikali kuhakikisha kuwa Watanzania hao ambao wengi ni wanafunzi, wanarudi nchini wakiwa salama. 
Membe alisema awamu ya kwanza ya kuwarudisha ilifanyika hivi karibuni chini ya uratibu...

 

10 years ago

Habarileo

Wanaotakiwa Uganda wagoma kurejeshwa

Mahakama ya Hakimu Mkazi KisutuWATU wawili wanaodaiwa kuwa wafuasi wa kundi la Uasi la ADF, wamegoma kurudishwa nchini kwao wakashitakiwe, na kuiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kupeleka jambo hilo kwa Waziri wa Katiba na Sheria kwa kuwa halina uhusiano wowote na kesi ya mauaji nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ufaransa kuchunguza mabaki ya ndege

Mtu anayedaiwa kubaini ushahidi wa kwanza wa mabaki ya Ndege ya Malysia iliyopotea ameelezea mazingira ya yalipopatikana

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani