Wanasayansi wanasema teknolojia ya mawasiliano ya 5G haina uhusiano na virusi vya corona
Madai yaliyoenea kuwa 5G inauhusiano na virusi vya corona yanasisitizwa na wanasayansi kuwa si ya kweli, kama anavyokuelezea Mwandishi wa BBC Sammy Awami...
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili09 Apr
Virusi vya corona: Wanasayansi waelezea chanzo cha virusi hivyo
Mlipuko wa virusi vya corona ambao umewawacha zaidi ya watu milioni moja wakiwa wameambukizwa na wengine 60,000 wakiwa wamefariki umebadilisha ulimwengu ulivyokuwa.
5 years ago
BBCSwahili26 May
Virusi vya corona: Madaktari wanasema kwamba ni ugonjwa usioeleweka
Madaktari wanasema virusi hivyo vinabadilika na kusababisha madhara tofauti kila siku.
5 years ago
BBCSwahili03 Apr
Virusi vya corona: Wauguzi wanasema ilivyo vigumu kutoa huduma
Wauguzi wanaeleza changamoto wanazozipata wakiwa mstari wa mbele kupambana corona
5 years ago
BBCSwahili06 Mar
Coronavirus: White House yakiri Marekani haina vifaa vya kutosha vya kupima virusi vya corona
New York imetoa wito kwa serikali kutuma vifaa zaidi vya kupima virusi vya corona katika jimbo hilo huku visa vya maambukizi vikiongezeka.
5 years ago
BBCSwahili09 Jun
Virusi vya corona: Je wanasayansi wamebaini nini?
Licha ya juhudi kuendelezwa hata katika ngazi ya kimataifa, virusi vya corona bado vinaendelea kusababisha vifo vya maelfu ya watu kila siku.
5 years ago
BBCSwahili07 May
Kubadilika umbo kwa virusi vya corona: Fumbo kwa wanasayansi juu ya athari za virusi
Utafiti umetambua kuwa kubadilika kwa hali na umbile la virusi vya corona mbako wanasema kunaweza kusababisha virusi vya corona kuwa vya maambukizi zaidi.
5 years ago
BBCSwahili24 Apr
Virusi vya corona: Wanasayansi wa Uingereza wanataka chanjo yao kufanyiwa majaribio Kenya
Watafiti kutoka nchini Uingereza wanafikiria kufanyia majaribio chanjo ya virusi vya corona nchini Kenya ambapo kulingana na wao mlipuko wa ugonjwa huo unaongezeka.
5 years ago
BBCSwahili02 Apr
Virusi vya Corona: Wanasayansi nchini Australia waanza kufanya majaribio ya chanjo mbili
Majibu ya awali kutolewa mwezi Juni.
5 years ago
BBCSwahili30 May
Virusi vya corona: Trump amekatisha uhusiano wa Marekani na WHO
Rais Trump anashutumi Shirika la Umoja wa Mataifa kwa kushindwa kukabili ugonjwa wa Covid-19
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania