Wanasiasa Kenya wamshambulia Fatou Bensouda
Wanasiasa waliotajwa na kiongozi wa mashtaka wa Mahakama ya Uhalifu wa Kimataifa (ICC), Fatou Bensouda kuhusu kesi ya Rais Uhuru Kenyatta, wamejitokeza na mmoja wao amesema upande wa mashtaka ulimtaka atoe ushahidi wa uongo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen29 Sep
Too late for Fatou Bensouda to salvage ICC’s reputation
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
Kenya haitatii matakwa ya Bensouda
10 years ago
TheCitizen11 Dec
Bensouda wants Kenya ICC case cited at States Parties Assembly
10 years ago
Michuzi04 Dec
Kesi ya Rais Uhuru Kenyatta wa kenya, ICC yampa muda Bensouda
![](https://2.bp.blogspot.com/-xqIaKTncqn4/VH_cFnF7ajI/AAAAAAABzYY/efKUwoaBj0c/s1600/141008160241_kenya_icc_640x360_bbc_nocredit.jpg)
ya kimataifa ICC Mhe. Fatou Bensouda
Mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita ICC imempa kiongozi wa mashtaka katika mahakama hiyo Fatou Bensouda makataa ya juma moja kutoa ushahidi dhidi ya rais wa kenya la sivyo aondoe mashtaka dhidi yake.''Kucheleweshwa kwa kesi hiyo ya rais Uhuru ni kinyume na maslahi ya haki ''iliamua.Rais Kenyatta ni kiongozi wa kwanza wa taifa kufika katika mahakama hiyo tangu ashtakiwe rasmi mwaka 2012 na mashtaka ya uhalifu...
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Wajumbe wamshambulia Kificho
BAADHI ya wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba wameanza kumshambulia Mwenyekiti wa muda, Pandu Ameir Kificho, kwa madai kuwa bado hawezi kutawala kiti kutokana na kutoruhusu wabunge kutoa hoja zao...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
UVCCM wamshambulia Lowassa
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), imemvaa Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, ikimtuhumu kuwa anafadhili mikakati ya kupingana na juhudi za sekretarieti ya chama hicho. UVCCM imesema imeunga...
10 years ago
Tanzania Daima09 Dec
CCM wamshambulia mdhamini CHADEMA
MJUMBE wa Bodi ya Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Muslim Hassanali, amedai kushambuliwa na Katibu Kata wa Kisutu kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Sauda Addey, baada ya...
11 years ago
BBCSwahili14 May
Wanajeshi wamshambulia kamanda Nigeria
10 years ago
BBCSwahili12 Sep
Wazee wamshambulia kijana mkaidi China