Wazee wamshambulia kijana mkaidi China
Kijana mmoja ameshambuliwa na wazee alipokaidi kumwachia kiti mmoja wao ndani ya basi nchini China.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili16 Apr
Viusi vya corona: Runinga ya Citizen nchini Kenya yasikitika kumuita rais Magufuli 'mkaidi'
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
UVCCM wamshambulia Lowassa
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), imemvaa Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, ikimtuhumu kuwa anafadhili mikakati ya kupingana na juhudi za sekretarieti ya chama hicho. UVCCM imesema imeunga...
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Wajumbe wamshambulia Kificho
BAADHI ya wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba wameanza kumshambulia Mwenyekiti wa muda, Pandu Ameir Kificho, kwa madai kuwa bado hawezi kutawala kiti kutokana na kutoruhusu wabunge kutoa hoja zao...
11 years ago
BBCSwahili14 May
Wanajeshi wamshambulia kamanda Nigeria
10 years ago
Tanzania Daima09 Dec
CCM wamshambulia mdhamini CHADEMA
MJUMBE wa Bodi ya Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Muslim Hassanali, amedai kushambuliwa na Katibu Kata wa Kisutu kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Sauda Addey, baada ya...
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Wanasiasa Kenya wamshambulia Fatou Bensouda
10 years ago
VijimamboMATUKIO KATIKA PICHA YA MTANANGE WA WAZEE WA KUNDUCHI YANGA 0 NA WAZEE WA SAUZI SIMBA 0
MATOKEO KAMILI YA MECHI ZA LIGI KUU KATIKA VIWANJA SITA HII LEO:-
YANGA 0- SIMBA 0
NDANDA...
5 years ago
MichuziWAZEE WAIPONGEZA SERIKALI SHINYANGA KUPUNGUZA MAUAJI YA WAZEE
Wazee wametoa pongezi hizo leo Machi 11,2020 kwenye kikao cha Baraza la Wazee Mkoa wa Shinyanga, kilichofanyika kwenye hospitali ya rufani ya mkoa wa Shinyanga, kilichokuwa na lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi likiwamo suala la matibabu. Akisoma...
10 years ago
Bongo Movies30 Mar
Wadau Wamshambulia Faiza, Kwa Bandiko Lake Mtandaoni la Kutamani Kufanya Ngono
Kufuatia andiko la staa mrembo kutoka Bongo Movies, Faiza Ally ambae ni mzazi mwenzie na mbunge wa CHADEMA , Mh Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ aliloandika kwenye ukurasa wake mtandaoni akidai kuwa anatamani kufanya mapenzi kwani ni muda mrefu sana hajafanya mapenzi.
“Natamani sana kufanya SEX nikikwambia Nina muda gani sijafanya huwezi kuamini - I NEED SEX ..GOOD ONE”-Faiza Aliandika.
Mara baada ya bandiko hilo wadau na mashabiki wengi walimshambulia kwa maneneo kuwa kama mwanamke na mama wa...