Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanasiasa wa Mandera wahojiwa kuhusu makaburi

Wanasiasa watano kutoka eneo la Mandera nchini Kenya, waliokuwa wamekamatwa na polisi mapema hii leo, katika uwanja wa ndege wa Wilson mjini Nairobi, wameachiliwa huru.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Makaburi: Kiongozi wa Mandera akamatwa

Kiongozi mmoja wa Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya, amekamatwa na polisi kuhusiana na madai ya kuwepo kwa makaburi.

 

11 years ago

Habarileo

Wanasiasa waonywa kuhusu urani

WANASIASA wametakiwa kuzingatia utafiti na ushauri wa kitaalamu, kabla ya kuruhusu kuanzishwa kwa migodi ya uchimbaji wa madini ya urani, yaliyogundulika katika maeneo mbalimbali nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Usafi wa wabunge wahojiwa

Spika wa Bunge, Anne Makinda.SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amewaambia wabunge kuwa vitendo vyao vya kukubali kurubuniwa kwa rushwa na baadhi ya wafanyabiashara, watajikuta wanakwenda ndani na Bunge halitawatetea.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wamiliki wa Hawala wahojiwa Kenya

Wenye Hawala wahojiwa katika Idara ya ujasusi kujieleza na kujitetea kuhusu tuhuma zinazowakumba za kufanikisha ugaidi

 

11 years ago

Habarileo

Lowassa, Sumaye Ngeleja wahojiwa

AGIZO la Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kutaka kamati za usalama na maadili za chama hicho kubana wanachama wanaokiuka maadili, limeanza kutekelezwa kitaifa kwa wanachama watatu wa chama hicho kuhojiwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani wahojiwa kumuondoa mwenyekiti

KAMATI ya Usalama na Maadili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Tanga, imewahoji madiwani 22 wa Halmashauri ya Korogwe Vijijini akiwemo mbunge wa jimbo hilo, Stephen Ngonyani kuhusu kumuondoa madarakani...

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu wawili wauawa Mandera

Watu wawili wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa baada ya wanajeshi kufyatulia risasi gari moja mjini Mandera katika hali isiyoeleweka, ripoti zinasema.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waliofanya shambulio la Mandera wasakwa

Wanajeshi na polisi wa Kenya wanawasaka al-Shabaab waliouwa abiria 28 katika basi karibu na Mandera, mji ulio karibu na Somalia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani