Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanatahiniwa kwa mitihani na kuhukumiwa na maisha

Bila shaka lengo kuu la kumpeleka mtoto shule ni kujifunza. Katika kujifunza huko, tunatarajia mabadiliko chanya na bayana, ambayo hujengwa na uelewa, ubunifu na maarifa, anayopata mtoto.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mitihani la 7 yamalizika kwa utulivu

WATAHINIWA wa mtihani wa darasa la saba 2015, wamefanya mitihani yao kwa amani na utulivu.

 

9 years ago

Habarileo

Mitihani yaanza kwa amani na utulivu

MTIHANI wa kidato cha nne ulioanza jana nchini kote umeanza kwa hali ya utulivu na amani katika shule mbalimbali za jiji la Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Kortini kwa ‘kula’ pesa za mitihani

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imempandisha kizimbani katika Mahakama ya Mkoa wa Arusha, Ofisa Elimu wa Halmashauri ya Arusha iliyopo wilayani Arumeru.

 

11 years ago

Michuzi

USAHIHISHAJI WA MITIHANI SHULE ZA MSINGI KWA KUTUMIA KOMPYUTA WAPATA MAFANIKIO JIJINI DAR

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es salaam Bi. Theresia Mmbado akifunga mafunzo ya siku 3 ya matumizi ya Fomu za OMR kwa walimu wakuu 254 wa shule za Msingi za mkoa wa Dar es salaam yaliyofanyika katika shule ya Sekondari Shaaban Robert. Afisa Elimu wa mkoa wa Dar es salaam Bw. Raymond Mapunda akitoa ufafanuzi kwa walimu wakuu wa shule za Msingi za mkoa wa Dar es Salaam kuhusu namna mkoa ulivyojipanga kutatua changamoto za elimu.  Baadhi ya Walimu wakuu wa shule za Msingi jijini Dar es...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mosri kuhukumiwa leo

Mahakama nchini Misri inatarajiwa kutoa hukumu dhidi ya rais wa zamani Mohammed Morsi ambaye aliondolewa madarakani mwaka 2013.

 

10 years ago

Mtanzania

Kina Mramba kuhukumiwa Juni 30

mafisadiNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam

HUKUMU ya kesi inayowakabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba, aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona na wenzao inatarajiwa kusomwa Juni 30, mwaka huu, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Uamuzi huo ulifikiwa jana, mbele ya jopo la mahakimu watatu, likiongozwa na Jaji John Utamwa, baada ya kupangwa kwa tarehe za majumuisho ya mwisho wa kesi hiyo. Mahakimu wengine katika kesi hiyo ni Sam Rumanyika na Saul Kinemela.

Mbali na Mramba na Yona,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliyewalawiti Watoto Kenya kuhukumiwa

Raia wa Uingereza aliyewadhalilisha kingono watoto mjini Gilgil nchini Kenya anatarajiwa kuhukumiwa leo nchini Uingereza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliyewalawiti Watoto Kenya kuhukumiwa

Raia wa Uingereza aliyewadhalilisha kingono watoto wa kiume katika mji mdogo wa Gilgil nchini Kenya anatarajiwa kuhukumiwa leo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani