Wanaume wabeba matumbo bandia kuonja uchungu wa kujifungua.
BAADA ya kuhangaika nayo tumboni kwa miezi tisa, hatimaye siku ya siku imefika kwa mtoto mtarajiwa kukaribia kuzaliwa.
Baada ya kero, adha, usumbufu na kila aina ya mahangaiko yanayotokana na ubebaji huo wa mimba, hiki ni kipindi kingine japo kifupi lakini kichungu zaidi ya hicho cha uleaji mimba.
Ni kipindi hiki kinachoonekana kuogopwa zaidi na wengi, kiasi kuwa wale, ambao hawajawahi kushika mimba unaweza kuwasikia wakijiuliza namna watakavyoweza kukihimili kutokana na simulizi za kweli au...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo529 Sep
Sugu na Faiza waachana, Faiza alia kwa uchungu, ‘wanaume nawasihi msiache wake zenu’
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Moro ya kwanza kuonja mpya za Jahazi
UONGOZI wa kundi la Jahazi Modern Taarab umeuteua Mkoa wa Morogoro kuwa kituo cha kwanza kutambulisha nyimbo zao zitakazounda albamu yao mpya. Kwa mujibu wa mmoja wa viongozi wa Jahazi,...
9 years ago
Mwananchi31 Dec
Kampuni za simu zaanza kuonja joto
10 years ago
Habarileo28 Dec
Wafugaji waanza kuonja adha ya mabadiliko ya tabia nchi
WAFUGAJI kutoka wilaya za Ngorongoro , Longido na Monduli wameanza kukumbwa na athari za mabadiliko ya tabia nchi.
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Mawaziri matumbo joto
10 years ago
BBCSwahili20 Feb
Kampala yakumbwa na homa ya matumbo
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Wakazi Babati na hofu magonjwa ya matumbo
HALI ya usafi katika maeneo kadhaa mjini Babati mkoani Manyara si ya kuridhisha kutokana na uchafuzi wa mazingira unaofanywa na baadhi ya wakazi wake. Wakazi hawa hutupa takataka ovyo kwenye...
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Mawaziri, ma-DC, viongozi wa Serikali matumbo joto
11 years ago
Habarileo06 Feb
Polisi 8 matumbo moto kwa unyama
ASKARI Polisi saba wa kiume na mmoja wa kike, wanakabiliwa na tuhuma za kumtesa mahabusu mwanamke kwa kumvua nguo na kumwingizia chupa ya bia katika sehemu za siri.