Wanawake 8,000 hupoteza maisha wakijifungua
TAKRIBANI wanawake 8,000 wanakufa kila mwaka nchini kutokana na sababu mbalimbali wakati wa kujifungua.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima03 Oct
8,000 hupoteza maisha kwa uzazi
IMEELEZWA takribani wanawake 8,000 wanapoteza maisha kwa mwaka hapa nchini kutokana na uzazi. Hayo yalibainishwa na Meneja Mradi wa uboreshaji uzazi salama wa Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA), Martha Rimoy,...
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Watoto 1,000 hupoteza maisha kila mwaka
IMEELEZWA kuwa watoto 1000 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi kila mwaka upoteza maisha kutokana na wazazi wao kuhusisha ugonjwa huo na imani za kishirikina. Mwenyekiti wa Chama cha Watoto...
9 years ago
BBCSwahili06 Nov
Shida zinazokabili wanawake wakijifungua Mandera
10 years ago
Vijimambo22 Jul
Asilimia 70 ya wagonjwa wa saratani hupoteza maisha katika nchi zinazoendelea
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/12_7.jpg)
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/CKV9RFDWoAA1kFz.jpg)
10 years ago
Dewji Blog22 Jul
Asilimia 70 ya wagonjwa wa saratani hupoteza maisha katika nchi zinazoendelea — Mhe. Uhuru Kenyatta
Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta akitambulishwa wake wa marais kutoka nchi mbalimbali za Afrika na Mkewe mama Margaret Kenyatta kabla ya kufungua mkutano wa tisa wa Jukwaa la wake wa marais wa Afrika la kutokomeza magonjwa ya saratani za mfumo wa uzazi ambazo ni mlango wa kizazi, matiti na tezi dume unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Kenyatta (KICC) uliopo mjini Nairobi. Kushoto ni Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete.
Na Anna Nkinda –...
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19
11 years ago
Mwananchi17 May
‘Nahitaji Sh700,000 kuokoa maisha yangu’
10 years ago
Habarileo10 Feb
Wanawake zaidi ya 1,000 kuchunguzwa saratani
ZAIDI ya kinamama 1,000 wa Mkoa wa Dodoma wanatarajia kufanyiwa uchunguzi wa satarani ya matiti. Kazi hiyo itafanyika kwa muda wa siku tano katika viwanja vya Nyerere Square mjini hapa.
10 years ago
Habarileo07 Dec
Wanawake 1,000 wapima saratani ya matiti
WANAWAKE zaidi ya 1,000, wamejitokeza kupimwa saratani ya matiti bure katika miezi minne ya kampeni inayoendeshwa na Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam.