Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake kutotumia WhatsApp,Chechnya

Kiongozi wa Chechnya Ramzan Kadyrov amewataka wanaume kuwazuia wake zao kutumia mtandao wa kijamii wa WhatsApp.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MADEREVA WAHIMIZWA KUTOTUMIA KILEVI WANAPOENDESHA MAGARI

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma,SSP Nuru Selemani akiwakiwaelimisha abiria ndani ya basi lilofanya safari zake mikoani ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya”Wait to Send”inayotoa elimu kwa madereva kutokutumia simu na kilevi wakati wote wakitumia vyombo vya moto.Kampeni hiyo inadhaminiwa na Vodacom Tanzania.Askari wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma SGT. Tunu Kuta(kulia) akimpima kiwango cha pombe mwilini dereva wa basi la kwenda...

 

10 years ago

Habarileo

Wajawazito washauriwa kutotumia dawa za uchungu za kienyeji

WAJAWAZITO wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameaswa kutojifungulia nyumbani.

 

10 years ago

Habarileo

Waaswa kutotumia nyumba za ibada kunadi wagombea

VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini wametakiwa kuacha tabia ya kuwakumbatia na kuwanadi baadhi ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi mbele ya waumini wao kwa kutumia nyumba za ibada.

 

11 years ago

Michuzi

WALIMU WAASWA KUTOTUMIA VIROBA WAKATI WA KUFUNDISHA

baadhi ya walimu wakuu wa shule za sekondari Tanzania kanda ya mashariki kupitia umoja wao TAHOSSA wakimsikiliza ofisa elimu mkoa wa pwani hayupo alipofungua mkutano wao mjini Kibaha. Picha ya pamoja na baadhi ya walimu wakuu wanaounda umoja wao wa TAHOSSA Kanda ya mashariki.
Na John Gagarini, Kibaha
OFISA Elimu Mkoa wa Pwani Yusufu Kipengele amewataka walimu mkoani humo kuachana na tabia ya kutumia vilevi waingiapo madarasani kufundisha kwani hali hiyo inachangia kushuka kwa kiwango...

 

10 years ago

GPL

RAZA AWAONYA WAGOMBEA URAIS KUTOTUMIA RUSHWA

Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,  Mohamed Raza (kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani),  kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Vincent Tiganya. Wanahabari wakifuatilia mkutano huo.…

 

9 years ago

StarTV

Maafisa ugani walaumiwa kutotumia taaluma yao Mkinga

Maafisa ugani wamelaumiwa kwa kushindwa kutumia taaluma yao vizuri kuwaelimisha wakazi wa Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga kutumia fursa ya ardhi nzuri waliyonayo kwa ajili ya shughuli za kilimo.

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mwamtumu Mahiza amesema licha ya halmashauri hiyo kuwa na maafisa ugani wa kutosha wameshindwa kuonyesha mchango wao hususani kwenye suala la kilimo.

Ziara ya mkuu wa Mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza yenye lengo la kukagua na kuhimiza shughuli za maendeleo katika wilaya mbalimbali za...

 

5 years ago

Michuzi

KAMALA AWASHAURI VIJANA WENZAKE KUTOTUMIA VIBAYA MITANDAO HIYO YA KIJAMII.

Na, Irene Mwidima, Globu ya jamii.

John George Kamala, Kijana anayejihusisha na masuala ya mitindo (model) amewataka vijana kutokutumia vibaya mitandao ya kijamii bali waitumie kujiingizia kipato.

Kamala pia amekuwa moja ya vijana wanaojiingizia kipato kupitia mtandao wa kijamii YouTube.

Amesema, ukiitumia vizuri mitandao ya Kijamii inakuleta manufaa makubwa sana bila kumtegemea mtu akusaidie na zaidi utajulikana kwa upana zaidi na watu mbalimbali.

Kamala amewasihi vijana wote kuacha kutumia...

 

10 years ago

Michuzi

Madereva watakiwa kutotumia simu wakati wanaendesha vyombo vya moto

Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani nchini Kamanda Mohamed Mpinga,amewataka madereva nchini kuzingatia sheria za barabarani na kuacha tabia ya kuongea na simu au kutuma na kupokea ujumbe wa maneno (sms) wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.
Kamanda Mpiga, alitoa wito huo leo katika hafla ya kupokea pete maalum kutoka kampuni ya Vodacom ikiwa ni mwendelezo wa kampeni yake inayojulikana kama “Wait to Send” inayohamasisha madereva wa vyombo vya magari kuacha matumizi ya simu wanapokwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani