Wanne wahukumiwa kunyongwa kwa kuua albino Tanzania
Watu wanne wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na kosa la kumuua Zawadi Magindu (32) mwenye ulemavu wa ngozi, mkazi wa Kijiji cha Nyamaruru, Wilaya ya Geita mkoani hapa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Jul
Wanne wahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua albino
10 years ago
Mtanzania16 Jun
Walioua albino mwaka 2009 wahukumiwa kunyongwa
NA JUDITH NYANGE, MWANZA
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza imewahukumu kunyongwa washtakiwa watatu wa kesi ya mauaji ya Jesca Charles (25) mwenye albino, mkazi wa Igoma Kishiri wilayani Nyamagana, Mkoa wa Mwanza.
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Jaji Agnes Bukuku baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa na pande zote mbili.
Washtakiwa hao ni Melikiadi Christopher (33) mkazi wa Igoma Kishiri, Yohana Kabadi (52) maarufu kama Mwanamalundi mkazi wa Igoma na Regina Mashauri (43) kutoka Mwisenya Igoma...
9 years ago
BBCSwahili08 Nov
6 wahukumiwa kifo kwa kuua wato 2 Bangladesh
10 years ago
Habarileo02 Jul
Ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua albino
MKAZI wa Kiwira, wilayani Rungwe, Hakimu Mwakalinga ambaye aliwahi kuhukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kukutwa na hatia ya kumuua Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Rungwe, John Mwakenja, amehukumiwa adhabu hiyo kwa mara nyingine baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mlemavu wa ngozi (albino).
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3fWxNBT49xC32pOQZhpq9CIFuNll-Hn4A8NwUZJlDZsMnKoXTZ18JpKCjq7lA1EZkfd0OTn0n0e2h43VcR9wSCA117QcQtJ2/watuhumiwa3.jpg)
WAISLAM WENYE ITIKADI KALI UINGEREZA WAHUKUMIWA JELA MAISHA KWA KUUA
9 years ago
StarTV22 Nov
Mh Sakalambi na wenzake wawili wahukumiwa kunyongwa
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Tabora jana imewahukumu kunyongwa hadi kufa Mweshimiwa Sakalambi na wenzake wawili waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka ya mauaji ya watu wawili kwa kukusudia.
Watu hao walipanga njama za kutekeleza mauaji ya watu wawili mume na mkewe julai 9/2012 kwa kuwakatakata na mapanga hadi kifo katika kijiji cha Inala one Kata Ndevelwa katika Manispaa ya Tabora.
Katika hukumu hiyo iliyosomwa kwa zaidi ya masaa mawili na Jaji John Utamwa amesema ameridhika pasipo...
10 years ago
Habarileo13 Sep
Polisi yanasa wanne kwa tuhuma za kuua kwa ujira
POLISI mkoani Kagera, inashikilia watu wanne kwa tuhuma za kukodiwa kufanya mauaji yanayohusisha imani za kishirikina.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-oU_EdyLSXU8/VnMRrop7uiI/AAAAAAAINKM/oIz9IctoBds/s72-c/51bd7d1d-3b49-4631-8d4c-6ba5a0fd3c87.jpg)
Raia wanne wa China wahukumiwa kutumikia miaka 20 jela kila mmoja kwa Uhujumu uchumi mkoani Mbeya
![](http://4.bp.blogspot.com/-oU_EdyLSXU8/VnMRrop7uiI/AAAAAAAINKM/oIz9IctoBds/s640/51bd7d1d-3b49-4631-8d4c-6ba5a0fd3c87.jpg)
Washatkiwa wanne wa China wakipanda karandinga baada ya kuhukumiwa kutumikia jela miaka 20 kila mmoja na kutakiwa kulipa faini ya Zaidi ya shilingi bilioni 10 baada ya kukutwa na makosa matatu ya kuhujumu uchumi.
![](http://1.bp.blogspot.com/-XuLg6CxUePA/VnMRuTlLcqI/AAAAAAAINKk/fFIfOSEFppY/s640/ndovu.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-A7iUsl_b1e8/VnMSFW5pJzI/AAAAAAAINKs/AD5xUX0K2bM/s640/ddc07c45-ec55-4001-937e-6015ed59afe3.jpg)