Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh Sakalambi na wenzake wawili wahukumiwa kunyongwa

Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Tabora jana imewahukumu kunyongwa hadi kufa Mweshimiwa Sakalambi na wenzake wawili waliokuwa wanakabiliwa na mashitaka ya mauaji ya watu wawili  kwa kukusudia.

Watu hao walipanga njama za kutekeleza mauaji ya watu wawili mume na mkewe julai 9/2012 kwa kuwakatakata na mapanga hadi kifo katika kijiji cha Inala one Kata Ndevelwa katika Manispaa ya Tabora.

 Katika hukumu hiyo iliyosomwa kwa zaidi ya masaa mawili na Jaji  John Utamwa amesema ameridhika pasipo...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Breaking Newss:WAKENYA WAWILI WAHUKUMIWA KUNYONGWA,NI WALE WALIPORA FEDHA BENKI YA NMB TAWI LA MWANGA.



Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
MAHAKAMA kuu kanda ya Moshi imetoa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa washtakiwa wawili raia wa Kenya katika  kesi ya mauaji ya askari Polisi, Pc Michael Milanzi, wakati wa tukio la uporaji  wa fedha katika benki ya NMB tawi la Mwanga mkoani Kilimanjaro. Mbali na hukumu hiyo iliyosomwa na Jaji mfawidhi wa Mahakama kuu, Kakusulo Sambo kwa zaidi ya saa, nne ,Mshatakiwa wa tatu katika kesi hiyo ,Karisti Kanje(Mtanzania) yeye amehukumiwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Walioua albino mwaka 2009 wahukumiwa kunyongwa

NA JUDITH NYANGE, MWANZA
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza imewahukumu kunyongwa washtakiwa watatu wa kesi ya mauaji ya Jesca Charles (25) mwenye albino, mkazi wa Igoma Kishiri wilayani Nyamagana, Mkoa wa Mwanza.
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Jaji Agnes Bukuku baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa na pande zote mbili.
Washtakiwa hao ni Melikiadi Christopher (33) mkazi wa Igoma Kishiri, Yohana Kabadi (52) maarufu kama Mwanamalundi mkazi wa Igoma na Regina Mashauri (43) kutoka Mwisenya Igoma...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanne wahukumiwa kunyongwa kwa kuua albino Tanzania

Watu wanne wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na kosa la kumuua Zawadi Magindu (32) mwenye ulemavu wa ngozi, mkazi wa Kijiji cha Nyamaruru, Wilaya ya Geita mkoani hapa.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanne wahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua albino

>Washtakiwa wanne kati ya watano wa kesi ya kumuua mtu mwenye ulemavu wa ngozi (albino) Henry Mwakajila mwaka 2008 wilayani Rungwe, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa mjini hapa jana.

 

10 years ago

Mtanzania

Wauaji wa Ubungo wahukumiwa kunyongwa - Ni wale waliohusishwa na uporaji wa fedha za NMB

Jaji Mkuu Othman Chande

Jaji Mkuu Othman Chande

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam,
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa washtakiwa sita katika kesi ya mauaji ya askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wa mkoani Morogoro na mfanyakazi wa Benki ya NMB, maarufu kama mauaji ya Ubungo Mataa.
Washtakiwa hao waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa jana na Jaji Projest Rugazia ni Haji Kiweru, Mashaka Pastory, Wycliff Imbora, John Mndasha, Martine Mndasha na Rashidi Abdikadir.
Jaji Rugazia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliye waua Waingereza wawili kunyongwa

Mahakama ya Malaysia imemkuta na hatia ya mauaji mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya wanafunzi wawili wa Uingereza

 

11 years ago

Mwananchi

Wizi NMB Mwanga: Wakenya wawili wahukumiwa kifo

Raia wawili wa Kenya, Samweli Saitoti (Saimoo) na Michael Kimani (Mike), wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), PC Michael Milanzi mwaka 2007.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani