Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waogombea urais Ukawa wajitokeze tuwaone

Je, ni kutekeleza msemo wa kimya kingi kina mshindo? Kwamba Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), unasubiri kuja kuwashangaza Watanzania.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umesema kuwa mgombea wao wa Urais watamtoa baada ya siku saba.
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao  wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu  kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

11 years ago

Bongo5

David Luiz: Sijui tutafanya nini ili tuwaone tena Wabrazil wakitabasamu!

Nahodha wa muda wa Brazil, David Luiz amewataka mashabiki wa timu hiyo kote duniani kuwasamehe wachezaji waliokuwa uwanjani Selecao ilipoadhibiwa kichapo cha mabao 7-1 na Ujerumani katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya kombe la dunia huko Brazil. David Luiz akilia kwa uchungu baada ya kipigo cha goli 7-1 Luiz ambae alionekana akilia kwa […]

 

10 years ago

Habarileo

CUF ‘washikilia’ urais wa Ukawa

Wafuasi wa vyama vinavyounda Ukawa.KITENDAWILI cha Chama cha Wananchi (CUF) kuridhia hoja ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kusimamisha mgombea mmoja wa nafasi ya urais kwa upande wa vyama vya upinzani, kinatarajiwa kuteguliwa Jumamosi ya wiki ijayo, ambapo Baraza Kuu la Uongozi wa Taifa wa chama hicho litakaa kujadili na kutoa uamuzi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA: Makundi ya urais yamtesa JK

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), unaoundwa na vyama vya CHADEMA, CUF na NCCR-Mageuzi, umesema kuwa Rais Jakaya Kikwete anayumbisha nchi katika mchakato unaoendelea wa kuandikwa kwa katiba mpya kutokana...

 

10 years ago

Mwananchi

Wagombea urais CCM wawanufaisha Ukawa

Baada ya wiki nzima ya makada wa CCM kutangaza nia na hatimaye kuchukua fomu za kugombea urais, wapinzani ndio wanaonekana kunufaika zaidi kutokana na wengi kutumia hotuba zao kuelezea udhaifu wa kila mmoja.

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa athibitishwa mgombea urais Ukawa

MKUTANO Mkuu wa Chadema umempitisha kwa kauli moja aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa kuwa mgombea wa kiti cha Urais wa chama hicho na baadaye ikaelezwa kuwa, ndiye atakayebeba jahazi la umoja wa vyama vinne vya upinzani vianvyounda Ukawa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge Ukawa kuchagua mgombea urais

Ni baada ya vikao mfululizo vinavyoshirikisha viongozi wa juu wa vyama husika na kufanya maridhiano

 

10 years ago

Mwananchi

Mgombea urais Ukawa hadharani kesho

>Baada ya vikao mfululizo wiki hii, hatimaye Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unatarajia kumtangaza mgombea urais wake kesho.

 

10 years ago

Mwananchi

Nani wa kuiwakilisha Ukawa urais 2015?

Ni takriban miezi minne sasa tangu vyama vinne vya upinzani nchini kupitia ushirikiano wao walioupa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kusaini makubaliano ya kushirikiana pamoja na kusimamisha mgombea mmoja katika chaguzi zote zijazo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani