Waomba Katiba mpya iharakishwe kugawiwa
SERIKALI imeombwa kuharakisha utekelezaji wa ahadi yake ya kusambaza nakala za Katiba Inayopendekezwa ili kuwezesha wananchi kuisoma kikamilifu na hatimaye waweze kufanya uamuzi sahihi wakati wa zoezi la upigaji wa kura ya maoni linalotarajia kufanyika Aprili 30, mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania10 Apr
‘Sheria mpya ya vipimo iharakishwe’
Patricia Kimelemeta
MAMLAKA ya Wakala wa Vipimo (WMA)wameiomba serikali kuharakisha sheria ya vipimo itakayotoa adhabu kali kwa wafanyabiashara watakaobainika wanatumia vipimo batili kuwadhulumu wananchi.
Kauli hiyo imetolewa siku chache baada ya maofisa wa WMA kufanya ukaguzi wa kushtukiza katika baadhi ya vituo vya mafuta na kubaini idadi kubwa ya vituo hivyo vinaharibu pampu za mafuta na kuwadhulumu wananchi ili kupata faida kubwa.
Katika ukaguzi huo, Mkoa wa Vipimo wa Kinondoni ulibaini...
11 years ago
GPLWAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA
11 years ago
MichuziWAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo. Picha na Cathert Kajuna wa Kajunason Blog
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe wa JUKWAA LA KATIBA...
10 years ago
Mwananchi19 Apr
KATIBA MPYA: Wingu linavyogubika hatima Mchakato wa Katiba Mpya
11 years ago
Habarileo28 Mar
JK aridhia mashamba 8 kugawiwa wananchi
RAIS Jakaya Kikwete ameridhia mashamba manane kati ya 11 ya mkonge wilayani Muheza yaliyotelekezwa, kugawanywa upya kwa wananchi wenye matatizo ya ardhi wilayani humo.
10 years ago
Mwananchi03 May
MCHAKATO WA KATIBA MPYA: Katiba Mpya ilivyoligawa Taifa
11 years ago
Habarileo26 Dec
Wafugaji waomba Mchakato Bunge la Katiba usiharibiwe
VYAMA vya Wafugaji wa Asili vimemuomba Rais Jakaya Kikwete kuangalia kwa makini baadhi ya watu wanaotaka kuharibu mchakato wa mapendekezo ya wawakilishi kwenye Bunge Maalumu la Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
9 years ago
Habarileo23 Nov
Shein ataka Zanzibar iharakishwe kuwa jiji
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, amesema hatua mbalimbali zinazochukuliwa na serikali kuimarisha huduma katika Manispaa ya Mji wa Zanzibar iwe ni changamoto kwa mamlaka zinazoshughulikia Serikali za Mitaa kuuandaa mji huo kuwa jiji kama majiji mengine duniani.
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa