‘Sheria mpya ya vipimo iharakishwe’
Patricia Kimelemeta
MAMLAKA ya Wakala wa Vipimo (WMA)wameiomba serikali kuharakisha sheria ya vipimo itakayotoa adhabu kali kwa wafanyabiashara watakaobainika wanatumia vipimo batili kuwadhulumu wananchi.
Kauli hiyo imetolewa siku chache baada ya maofisa wa WMA kufanya ukaguzi wa kushtukiza katika baadhi ya vituo vya mafuta na kubaini idadi kubwa ya vituo hivyo vinaharibu pampu za mafuta na kuwadhulumu wananchi ili kupata faida kubwa.
Katika ukaguzi huo, Mkoa wa Vipimo wa Kinondoni ulibaini...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Feb
Waomba Katiba mpya iharakishwe kugawiwa
SERIKALI imeombwa kuharakisha utekelezaji wa ahadi yake ya kusambaza nakala za Katiba Inayopendekezwa ili kuwezesha wananchi kuisoma kikamilifu na hatimaye waweze kufanya uamuzi sahihi wakati wa zoezi la upigaji wa kura ya maoni linalotarajia kufanyika Aprili 30, mwaka huu.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ahJjIDDkNIk/XsUvdMq4WBI/AAAAAAALq-4/kYfpPpZw0OMxBQF3v0fAQ6xadJ_1g4G8QCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-20%2Bat%2B11.55.36%2BAM.jpeg)
WAKALA WA VIPIMO TUPO SEHEMU ZOTE, KUHAKIKISHA VIPIMO VINATUMIKA KWA USAHIHI-STELLA
Stella ameyasema hayo leo, May 20, 2020 jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho hayo yenye Kaulimbiu ya Vipimo katika Biashara ya Kimataifa. “Tanzania ni nchi ambayo inafanya Biashara kubwa nchi mbalimbali, vipimo...
11 years ago
Habarileo09 Apr
Wakala wa Vipimo watahadharisha vipimo bandia
WAKALA wa Vipimo Tanzania (WMA) umewataka watumiaji wa vipimo batili kuacha kutumia vipimo hivyo kwani vinadimimiza uchumi wa Watanzania na taifa.
10 years ago
Habarileo05 Feb
Sheria mpya Takukuru yasubiri Katiba mpya
UAMUZI wa kutunga sheria kwa ajili ya kuimarisha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) kwa ajili ya kuipa meno, unasubiri katiba mpya.
9 years ago
Habarileo23 Nov
Shein ataka Zanzibar iharakishwe kuwa jiji
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, amesema hatua mbalimbali zinazochukuliwa na serikali kuimarisha huduma katika Manispaa ya Mji wa Zanzibar iwe ni changamoto kwa mamlaka zinazoshughulikia Serikali za Mitaa kuuandaa mji huo kuwa jiji kama majiji mengine duniani.
11 years ago
BBCSwahili04 Apr
Sheria mpya ya ujasusi Marekani ;Senet
10 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Walimu walalamikia sheria mpya ya mafao
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam, kimelalamikia sheria mpya ya mafao ya wastaafu kuwa ni ya kinyonyaji, haistahili kuanza kutumika bila kufanyiwa marekebisho kwa kushirikiana...
10 years ago
BBCSwahili10 Nov
Ushoga:Tetesi za sheria mpya Uganda
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-SIQ_BbYAmzM/VXfGH3gBtWI/AAAAAAAAkXY/gp8vIk1mf84/s72-c/zadia.png)
SHERIA MPYA YA MTANDAO MWISHO CHUMBE..?
![](http://4.bp.blogspot.com/-SIQ_BbYAmzM/VXfGH3gBtWI/AAAAAAAAkXY/gp8vIk1mf84/s400/zadia.png)
Wanadiaspora wameelezea wasiwasi wao kuwa sheria mpya ya Makosa Ya Mtandao iliyoanza kufanya kazi tarehe mosi mwezi huu nchini Tanzania, huenda ikaishia kisiwa cha Chumbe kilichopo katikati ya Dar es salaam na Zanzibar, imefahamika.
Hayo yamekuja kwenye kongamano maalum lililoandaliwa na Jumuiya Ya Wazanzibari Waishio nchini Marekani (ZADIA) kujadili Sheria Mpya ya Makosa Ya Mtandao na Athari zake Kisiasa.
Wageni...