Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waonywa kutoozesha watoto wao wanaosoma

WAZAZI wametakiwa kuitumia fursa ya elimu kwa watoto wa kike na kuachana na tabia ya kuwaozesha wakati wanaendelea na masomo kwani kufanya hivyo ni kudumaza maendeleo yao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma mjii wa Nanchang nchini China waanzisha umoja wao

Viongozi wa NATATA, toka kushoto ni Katibu Mkuu Halima Guga,Mwenyekiti Given Massawe na mratibu wa Elimu Abdulkarim Baksh.  Mwenyekiti wa NATASA ,Given Massawe akipozi kwa picha na wadau wa NATASA, toka kushoto  ni Henry Mzava,Evance,Letitia Smith ambae yeye anatoka Namibia, Henry,Hamza Riyani, Charles na Mercy.  M/kiti wa NATASA Given Massawe akikata keki ya ya kuzindua umoja huo pamoja kuazimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tz huku katibu wake Halima Guga akishuhudia. Wakina dada wa ...

 

5 years ago

Michuzi

WAZAZI WENYE WATOTO MAHITAJI MAALUM WAASWA KUWAPELEKA SHULE WATOTO WAO BADALA YA KUKAA NAO NYUMBANI

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tandahimba Hadija Mwinuka ametoa wito kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum wawapeleke shule badala ya kukaa nao nyumbani na kuwafungia

Ameyasema hayo wakati akitoa vifaa mbalimbali vilivyotolewa na wanawake viongozi wa Elimu Wilaya ya Tandahimba kwenye shule maalum mjimpya

Mwinuka ameeleza kuwa shule hiyo ni bweni hivyo wanapokea watoto wakike na wakiume  wananchi waache kuwafungia ndani badala yake wawapeleke wakapate elimu mbalimbali...

 

10 years ago

Habarileo

Wasiopeleka watoto wao shule kusakwa

WANAFUNZI 725 kati ya 1,409 waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka huu, wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara, hawajaripoti katika shule walizopangiwa ambapo hadi sasa walioripoti 684 tu.

 

11 years ago

Mwananchi

Watakiwa kusomesha zaidi watoto wao

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Abdallah Ulega, amewataka wazazi na walezi wilayani humo kutumia rasilimali zao, ili kuwasomesha watoto.

 

10 years ago

Mwananchi

Watoto 600 wapotezana na wazazi wao

>Zaidi ya watoto 600 wakimbizi kutoka Burundi wamepotezana na wazazi wao katika harakati za kukimbia nchi yao au kuhamishwa kutoka kambi moja kwenda nyingine mkoani Kigoma.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wazazi waaswa kuwalinda watoto wao

WAZAZI wametakiwa kuwapokea vizuri na kuwalea kwa maadili wanafunzi wanaohitimu kidato cha nne wakati wakisubiri matokeo yao ya kwenda kidato cha tano. Rai hiyo imetolewa jana na Mkuu wa Wilaya...

 

10 years ago

Habarileo

Wazazi wahimizwa kufuatilia watoto wao

WAZAZI wametakiwa kufuatilia nyendo za watoto ili kudhibiti kuporomoka kwa maadili kunakosababishwa na utandawazi.

 

9 years ago

Michuzi

WAZAZI WATAKIWA KUTOWAACHIA WATOTO WAO MITANDAO


Wanafunzi wa Shule ya New Ligh  ya chekechea ya Mji mdogo wa Mireani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiwa kwenye mahafaliya kujiunga na darasa la kwanza kwenye shule hiyo
Na Woinde Shizza.WAZAZI na walezi nchini wametakiwa kutowaachia huru watoto wao kujihusisha na mitandao ya kijamii, kwani baadhi ya mitandao hiyo inachangia kwa kiasi kikubwa kubadili maadili yao na kusababisha wawe na tabia mbaya. 
Meneja wa shule ya msingi New Light ya mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani...

 

10 years ago

Vijimambo

Walalamikia watoto wao kuhusishwa na 'Panya road'

Idadi ya vijana wanaojihusisha na kundi uhalifu maarufu kama ‘Panya Road’ waliokamatwa imeongezeka kutoka 1,391 kufikia 1,438 jijini Dar es Salaam huku baadhi ya wazazi na wakazi wa Magomeni na Mwenge wakilijia juu Jeshi la Polisi kwa madai kuwa operesheni hiyo inawahusisha wasiohusika.

Idadi hiyo imeongezeka katika mkoa wa kipolisi Temeke ambapo kwenye operesheni ya juzi wahalifu hao walikamatwa 47 na kuongeza idadi ya kufikia 1,4 38.

Aidha vijana hao walikamatwa ni pamoja na wapiga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani