Warioba aanika uchuku wa CCM
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amewashika pabaya makada wenzake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao wamekuwa wakimtukana na kubeza kazi iliyofanywa na Tume aliyoongoza....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Lissu aishika serikali uchuku
MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA) amesema Waziri Mkuu Mizengo Pinda hakusema ukweli Bungeni. Akichangia mjadala wa hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Fedha na Uchumi kwa mwaka huu...
5 years ago
CHADEMA Blog![](https://img.youtube.com/vi/wmZChnwI4Uc/default.jpg)
11 years ago
TheCitizen24 Apr
Warioba warns CCM
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Warioba aiua CCM
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikijipanga kusimamia hoja yake ya kutaka mfumo wa serikali mbili ulioboreshwa, Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amepigilia msumari kwamba mfumo...
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Warioba mwiba CCM
HILA za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumshambulia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, huku wakitumia kitisho cha jeshi kuasi iwapo mfumo wa serikali tatu utaridhiwa...
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Warioba achana na CCM
SINA budi nianze kwa kumpa pole ya dhati aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba. Kazi aliyofanya pamoja na tume yake ni kubwa sana. Kwakuwa...
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Mapalala: Warioba amewavuruga CCM
11 years ago
Tanzania Daima30 Mar
CCM wazidi kulia na Warioba
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimezidi kuilaumu iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa kuandika rasimu iliyojaa mawazo ya wajumbe wake waliotaka muundo wa serikali tatu. Lawama hizo zilitolewa jana na...
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Warioba akata ngebe za CCM
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amezima rasmi sakata la makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kulazimisha Bunge Maalumu la Katiba kukataa pendekezo la Tume ya...