wasanii 50 kuhamia mkuranga Mei MWAKA HUU
KIKUNDI cha Wasanii 50 wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) wanatarajiwa kuondoka Mei 10, mwaka huu kwenda kuanza maisha mapya ya kijijini ya kulima, kufuga na kuandaa filamu.
Akizungumza katika mkutano wa wanachama uliofanyika mwishoni mwa wiki Dar es Salaam, Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib alisema maandalizi ya wasanii hao kuhamia kijijini yamekamilika na akiwemo yeye ataongoza msafara huo.
Alisema kati ya wasanii watakaohamia kijijini ni mchezaji wa zamani wa Simba, Dua Said...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JeNChS1-pWw/VTUJsf3k6AI/AAAAAAAHSH0/zztMNXa_nHs/s72-c/NDUMBARO%2BVILABU.jpg)
Hatma ya Ndumbaro kutolewa Mei 10 mwaka huu
![](http://4.bp.blogspot.com/-JeNChS1-pWw/VTUJsf3k6AI/AAAAAAAHSH0/zztMNXa_nHs/s1600/NDUMBARO%2BVILABU.jpg)
Kikao cha Kamati ya rufaa ya nidhamu chini ya Revocatus Kuuli ilisikiliza hoja za pande mbili ambao Ndumbaro alijiwakilisha mwenyewe wakati kwa upande wa TFF iliwakilishwa na wakili wao Emmanuel Muga huku habari za ndani zikidai kuwa licha ya Ndumbaro kukata rufaa, TFF nayo imemfungulia shtaka la tatu la kuandaa mechi kinyume na taratibu.
Kikao hicho...
10 years ago
GPLTAMASHA LA MUZIKI WA ZAMANI KUFANYIKA MEI 30, MWAKA HUU
11 years ago
Dewji Blog29 Apr
FURSA: Mafunzo ya kupiga ala za muziki kuanza tena mwezi Mei mwaka huu
Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye mazoezi.
Action Music Tanzania (AMTz) inatangaza fursa kwa watu wote kujiunga na mafunzo ya kupiga ala za muziki yanayoanza tarehe 3/5/2014, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wanamuziki wa kupiga ala na kufanya maonesho kwa weledi na utaalamu zaidi.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa darasani.
Mafunzo yanayotolewa ni pamoja na upigaji wa ala za muziki zikiwemo gita, kinanda, tarumbeta, saxophone, konga, drum set, na upigaji wa ngoma za asili. Pia yatatolewa...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/eL6AgHmrdiM/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Mar
Mh. Lukuvi aagiza uongozi wa mkoa wa Manyara kumaliza migogoro ya ardhi kabla ya mwezi Mei mwaka huu
Mkuu wa mkoa wa Manyara ,Mhe.Joel Nkaya Bendera akizungumza katika kikao cha viongozi wa wilaya zote za mkoa huo kilichofanyika ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Babati, kushoto ni Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Mhe.William Lukuvi na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Babati, Crispin Meela.Mhe.Bendera amesisitiza nidhamu ya kazi katika kuhudumia wananchi na ameapa kuwaondoa watendaji wabovu mkoani humo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.William Lukuvi akizungumza katika...
9 years ago
Bongo Movies08 Sep
Mwaka Huu Nimewajua Wasanii Waliokuwa na Akili na Wasiokuwa na Akili-Ray
"(FREEDOM OF SPEECH)
Kuna vitu vingi sana nimegunduakwenye uchaguzi wa mwaka huu nimewajua baadhi ya wasanii waliokuwa na akili na wasiokuwa na akili japokuwa nami nawezakuwa mmoja wapo katika hao wasiokuwa na akili. Why nasema hivi na samahani kama nitakuwa nime2mia lugha kali, Unajua nashanga sana sasa hivi kumekuwa na vita baina ya wasanii wanaosapoti (CCM) Na (UKAWA)
Jamani siasa ni democracy kila m2 ana haki yakuwa upande anayeuona yeye unamfaa. Mimi nilidhani badala ya kuwa na...
11 years ago
MichuziDiamond na Wema kuhamia Mtwara, kufanya shoo ya nguvu Mei 2, 2014 MAKONDE CLUB
Shoo hiyo ya kipekee na ya aina yake italetwa na si mwingine bali ni mkali wa muziki wa bongo flava nchini anayepasua anga ya Afrika ya Mashariki kwa sasa kupitia vibao vyake vitamu kama vile cha My Number One remix alichomshirikisha msanii Davido kutoka nchini Nigeria, Raisi wa wasafi...
9 years ago
MichuziMAKALA KIJIJI CHA WASANII MKURANGA
Na Mwandishi WetuMIAKA 15...