Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKALA KIJIJI CHA WASANII MKURANGA

 Wasanii wa SHIWATA wakigaiwa maeneo ya kujenga katika kijiji cha Mwanzega Mkuranga.Wasanii wakipata maelekezo kutoka kwa mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib kabla ya kugaiwa nyumba zao katika awamu ya mwisho Agosti 8, mwaka huu,SHIWATA yazialika klabu, taasisi za michezo kujenga stadium, kumbi za burudani kijijini kwao Mkuranga,.Bado kuna ekari 290 bado hajizapata matumizi.Kila mwanachama kupewa robo hekari bure.Jella Mtagwa, Dua Said, Hamisi Kinye ni baadhi yao.

Na Mwandishi WetuMIAKA 15...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI KIJIJI CHA MAGOZA, MKURANGA

 Ofisa Elimu Wilaya ya Mkuranga, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo,  Benjamin Majoya akikata utepe kuzindua rasmi kisima cha maji kilichojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa gharama ya sh. mil 56, katika Kijiji cha Magoza, Kata ya Kiparang'anda, Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Kushoto ni Diwani wa Kata hiyo, Karu Karavina na Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo (wa pili kulia).
 Ofisa Elimu Wilaya ya Mkuranga, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo,  Benjamin...

 

10 years ago

Michuzi

CHANGIA UJENZI WA MSIKITI KIJIJI CHA MLAMLENI, MKURANGA, MKOA WA PWANI

 Katika Maisha yetu Wanaadamu Ibada ni Jambo Muhimu saana. Uzuri , Usafi wa sehemu ya kuabudu ni Moja katika mambo mazuri yenye kupendeza katika kila Nafsi ya Binaadamu.
Nyumba hii ya Ibada ama Msikiti  huu  Ndugu zetu wanafanya Ibada ya Swala 5 kwa siku , Msikiti huu upo Mkoa wa Pwani , Wilaya ya Mkuranga , Kijiji cha Mlamleni Kitongoji cha Kimbangulile. Wenzetu wameanza kwa Nguvu zao kwa Ujenzi wa Msikiti huu. Na Jitihada nyengine ni kuwa na Matofali yasiyo pungua 300 kwa Ajili ya kuanza...

 

10 years ago

Michuzi

MICHANGO BADO YAHITAJIKA UJENZI WA MSIKITI KIJIJI CHA KIMBANGULILE MKURANGA PWANI

 Huu ndio msikiti wa Masjid Fisabillah ya Mlamleni uliopo Kijiji cha Kimbangulile, Wilaya ya Mkuranga , Mkoa wa Pwani.  Ujenzi wa Msikiti ukiwa umeanza.Hivi ndivyo ujenzi ulipofikia katika ujenzi huo na bado fedha zinahitajika kwaajili ya kuendelea. 
TUNAMSHUKURU  Mwenyezi Mungu kwa Pumzi anayo endelea kutupa.
Ufuatao ni Mrejesho wa Michango yenu ya Ujenzi wa Msikiti wa Masjid Fisabillah ya Mlamleni , Mkoa wa Pwani , Wilaya ya Mkuranga , Kijiji cha Kimbangulile.


Ikumbukwe kupitia Blogs na...

 

9 years ago

Michuzi

HATIMAYE MSIKITI WA KIJIJI CHA MLAMLENI WILAYA YA MKURANGA WAJENGWA UPYA KWA MSAADA WA WASAMARIA WEMA WA NDANIO NA NJE YA NCHI

Na  Ghalib Nassor Monero
Asalaam Alaykum Warahmatullahi wabarakatu, Alhamdulilah....
Kwa Niaba ya wakazi wa kijiji cha Mlamleni , kitongoji cha kimbangulie , wilaya ya Mkuranga  Mkoa wa Pwani ninatoa shukran za dhati kwanza Ma Admin wote wa blogs mlioshirikiana nasi katika kulitangaza jambo hili la kheri.
Pili tunawashukuru wale wote wadau ambao wameshirikiana nasi kwa hali na mali katika Ujenzi wa Jengo hili la msikiti kutoka Nyasi Mpaka kuwa katika Muonekano mpya kama mnavyo ona katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana akagua Shamba la Mikorosho 19270 iliyoharibika katika kijiji cha Magawa, Mkuranga na kuwaahidi kuwasaidia wakulima wa zao hilo kupata fidia

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia moja kati ya miti 19,270 ya korosho iliyoharibika  alipokwenda kukagua shamba la hekali 1000 katika Kijiji cha Magawa wakati wa ziara yake wilayani Mkuranga ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

IMG_5802

 Kinana akiongoza kukagua shamba la mikorosho iliyoharibika na kuwafanya wananchi wa Kijiji cha Magawa kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

SHIWATA yaipongeza Serikali kutambua kijiji chao Mkuranga

Na Mwandishi Wetu, Mkuranga
SERIKALI imepongezwa kwa kutambua juhudi zinazofanywa na wasanii, wanamichezo na waandishi wa habari za kujenga nyumba za makazi katika kijiji cha Mwanzega Mkuranga ambapo Mwenge wa Uhuru ulifika na kuweka jiwe la msingi Julai 22 mwaka huu.
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA),Cassim Taalib katika risala aliyosoma mbele ya Kiongozi wa Mwenge kitaifa, Rachael Kassanda alisema Serikali kukitambua kijiji hicho kumeongeza ari ya wasanii kujenga nyumba za...

 

10 years ago

Michuzi

wasanii 50 kuhamia mkuranga Mei MWAKA HUU

imagesKIKUNDI cha Wasanii 50 wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) wanatarajiwa kuondoka Mei 10, mwaka huu kwenda kuanza maisha mapya ya kijijini ya kulima, kufuga na kuandaa filamu.
Akizungumza katika mkutano wa wanachama uliofanyika mwishoni mwa wiki Dar es Salaam, Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib alisema maandalizi ya wasanii hao kuhamia kijijini yamekamilika  na akiwemo yeye ataongoza msafara huo.
Alisema kati ya wasanii watakaohamia kijijini ni mchezaji wa zamani wa Simba, Dua Said...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani