VIDEO: Makala: JK apongeza Kuanzishwa kijiji cha Pathifinder Green City Tabora
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi17 Oct
9 years ago
MichuziMAKALA KIJIJI CHA WASANII MKURANGA
Na Mwandishi WetuMIAKA 15...
10 years ago
Dewji Blog14 Oct
Rais Kikwete azindua kijiji cha mfano cha vijana Sikonge mkoani Tabora
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa kijiji cha mfano cha vijana Pathfinders Green City katika kata ya Igigwa wilayani Sikonge jana.Rais Kikwete yupo Mkoani Tabora kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo ambapo pia atakuwa mgeni rasmi katika kilele cha mbio za Mwenge leo.watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora Bi.Fatma Mwassa na wapili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Sikonge Bi.Hanifa Selenga.
Rais...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GYtgXPU4gm8/VDwsz_iBB8I/AAAAAAAGp94/kuZADx8oXhQ/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Rais Kikwete azindua kijiji cha Mfano cha Vijana Sikonge mkoani Tabora leo
![](http://1.bp.blogspot.com/-GYtgXPU4gm8/VDwsz_iBB8I/AAAAAAAGp94/kuZADx8oXhQ/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-tY-wYVSeABI/VDws0ZrQG3I/AAAAAAAGp98/8Lxg-ZiGWT0/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/13256/production/_86122487_86116514.jpg)
VIDEO: Johannesburg's city streets 'go green'
The Ecomobility World Festival is taking place in Johannesburg in South Africa, with people being encouraged to walk, cycle, and use public transport.
11 years ago
MichuziAirtel yawezesha mafunzo kwa wafanyakazi wa Afya kijiji cha Mbola Tabora
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Ffqvx4jdF-o/VbEqWBptAxI/AAAAAAAHrVE/k9L98A2rH7s/s72-c/unnamed%2B%252823%2529.jpg)
Wakazi wa Kijiji cha Kingwang’oko Tabora wapatiwa huduma za mawasiliano na Airtel
Wakazi wa Kijiji cha Kingwang’oko Tabora wapatiwa huduma za mawasiliano na Airtel WAKAZI wa Kijiji cha Kigwang’oko Wilaya ya Ulyankulu,wameipongeza kampuni ya Airtel kwa kuwajengea mnara wa mawasiliano na hivyo kuondokana na tatizo sugu la mawasiliano lililokuwa likiwakabili. Wakazi hao wamekuwa wakifanya shughuli zao bila ya mawasiliano ya uhakika kwa muda mrefu jambo linalotajwa kukwamisha shughuli nyingi za maendeleo kijijini hapo. Wanakijiji hao wameeleza kuwa, wamekuwa wakipata tabu...
11 years ago
GPLAIRTEL YAWEZESHA MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA AFYA KIJIJI CHA MBOLA TABORA
Mfanyakazi wa huduma za afya bi Amina Wakasuvi akitoa huduma kwa moja ya familia katika kijiji cha mbola mkoani Tabora ambapo Airtel chini ya mradi wa millennium village imewawezesha wafanyakazi hao kutumia mtandao wa mawasiliano kutoa huduma za Afya.
Akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa huduma za afya katika kijiji cha Mbola mkoani Tabora namna ya kutumia huduma ya mawasiliao ya simu kutoa… ...
10 years ago
MichuziHatimaye wakazi wa kijiji cha Amani mkoani Tabora kuanzia usiku wa leo watalala bila kero ya kunguni!
Taasisi ya Better Living Aid kupitia kampuni ya Royal Nsyepa General Supplies ambayo mkurugenzi wake ni Bw Mgalula Fundikira za jijini Dar es Salaam leo imepeleka mtaalamu wa upulizaji madawa ya kuuwa wadudu kama kunguni na wengineo katika kijiji cha Amani kilichopo km 6 nje ya mji wa Tabora. Hatua hiyo ya Better Living Aid ilifuatia ombi toka kwa wakazi wa kijiji hicho chenye wakazi wapatao 70 ambao baadhi yao ni wazee na wenye uathirika wa gonjwa sugu la ukoma, pamoja na changamoto ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania