Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasanii Moro wamlilia JK

WASANII mkoani Morogoro wamemsihi Rais Jakaya Kikwete awasaidie kupata kituo cha redio na televisheni itakayokuwa na kazi ya kuibua na kukuza vipaji kabla hajamaliza muda wake. Ombi hilo lilitolewa mwishoni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Wasanii wa Fiesta wahudhuria arobaini ya Mama Tunda Moro

Wasanii walioenda Morogoro kwaajili ya Fiesta, Jumapili hii mchana walienda nyumbani kwa Afande Sele mjini humo kuhudhuria arobaini ya aliyekuwa mke wake, Mama Tunda na kumpa pole. Hizi ni picha zao. Afande Sele akiongea na wasanii na kuwashukuru kwa kufika katika arobaini ya Mama Tunda Afande Sele akiwa na watoto wake, mkubwa anaitwa Tunda na […]

 

9 years ago

Bongo5

Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo

Belle99

Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.

Belle99

What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya

— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015

Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK, CHADEMA wamlilia Max

RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi kwa Waziri wa Habari, Dk Fenella Mukangara kutokana na kifo cha Mpigapicha wa kituo cha television cha Mlimani, Maximilian John kilichotokea juzi. Taarifa...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WAMLILIA BOBBI KRISTINA

Marehemu Bobbi Kristina enzi za uhai wake.
New York, Marekani
INASIKITISHA SANA! Baada ya kifo cha mtoto wa staa wa R&B, Hayati Whitney Houston, Bobbi Kristina aliyefariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita, mastaa wengi nchini Marekani wameonesha hisia zao za kuguswa na kifo hicho kwa kutuma salamu za pole kuifariji familia ya marehemu. Keri Hilson. Baadhi ya mastaa waliotuma salamu za rambirambi kwa familia ya Bobbi… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK, Basata, Mnyika wamlilia Gurumo

WAKATI mwili wa mwanamuziki nguli, Muhidin Maalim Gurumo, ukitatajiwa kusafirishwa leo kwenda Kijiji cha Masaki, Kisarawe, Pwani kwa mazishi, Rais Jakaya Kikwete, amemtumia salamu za rambirambi waziri mwenye dhamana na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA wamlilia Mama Zitto

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeeleza kupokea kwa majonzi makubwa msiba wa mjumbe wao wa Kamati Kuu ya Taifa, Shida Salum ambaye aliaga dunia jana jijini Dar es Salaam....

 

9 years ago

Mtanzania

Mashabiki Chelsea wamlilia Mourinho

MashabikiLONDON, ENGLAND

MASHABIKI wa Chelsea wameshindwa kuzuia hisia zao juzi katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Sunderland ambapo klabu yao ilishinda mabao 3-1, lakini walionekana wakiwa na mabango ambayo yanaonesha bado wanamuhitaji.

Kocha huyo amefukuzwa na klabu hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita, lakini katika mchezo wa juzi mashabiki waliojitokeza kwenye Uwanja wa Stamford Bridge, walionekana wakiimba nyimbo za kumsapoti Mourinho.

Kuna baadhi ya mashabiki ambao walionekana wakiwa na mabango...

 

11 years ago

Mwananchi

Magwiji wa soka wamlilia Eusebio

Magwiji mbalimbali wa soka wameongoza kutoa rambirambi kwa kifo cha nyota wa zamani wa Ureno, Eusebio aliyefariki akiwa na miaka 71.

 

11 years ago

Mwananchi

Waongoza watalii wamlilia RC Gama

 Chama cha Waongoza Watalii Mlima Kilimanjaro na Meru (Kili-Meru) kimemuomba mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama kuwatafutia maeneo ya kilimo katika mikoa mingine ili waweze kujikita zaidi kwenye kilimo badala ya kutegemea kazi ya kuongoza watalii pekee.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani