Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII WAMFANYIA VIBAYA MTITU MSIBANI

Baadhi ya wasanii wa filamu Bongo wameshindwa kuonesha utu ipasavyo kwa msanii mwenzao, William Mtitu ambaye hivi karibuni alifiwa na baba yake mzazi.
Baba wa msanii huyo, John Mtitu alifariki dunia baada ya kusumbuliwa na uvimbe kichwani na alipofanyiwa upasuaji, hakuweza kuzinduka. Wasanii mbalimbali wakiomboleza msiba wa babaake Mtitu Siku ya kuaga mwili Katika hali ya kushangaza, wasanii waliofika nyumbani kwa msanii...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MTITU AWAKUMBUKA WASANII WALIOFARIKI

Na Rhoda Josiah MWENYEKITI Msaidizi wa Klabu ya Bongo Movie Unity, William Mtitu ameguswa na kuamua kutembelea makaburi ya wasanii mbalimbali waliofariki dunia. Mwenyekiti Msaidizi wa Klabu ya Bongo Movie Unity, William Mtitu. Akizungumza na Amani mara baada ya kutembelea Makaburi ya Kinondoni wiki iliyopita, Mtitu alisema ameamua kufanya hivyo kwani amegundua wasanii wengi… ...

 

10 years ago

Bongo5

Steve Nyerere azungumzia tuhuma za kutumia cheo vibaya kuwanyonya wasanii wenzake

Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steve Nyerere amezungumzia madai ya kuwa anatumia vibaya madaraka na kuwanyonya wasanii wenzie sababu iliyofanya aliyekuwa katibu mkuu, William Mtitu ajiuzulu wadhifa wake. Akizungumza na Bongo5 leo, Steve amesema kuwa kuna baadhi ya wasanii wa umoja huo wamekuwa wakimuonea wivu. “Kwenye akaunti ya bongo movie kuna hela? Kwamba kiongozi aliyepita […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Bei Mpya za Filamu:Mtitu Aendelea Kuwaponda Baadi ya Wasanii wa Filamu

Mtengenezaji wa filamu mkongwe hapa nchini, William Mtitu ameendela kuwaponda baadhi ya wasanii ambao wanafanya kazi na kampuni ya Steps Entertainment  kwa kukubali kushisha bei ya kazi zao kutoka shilingi 3000/= hadi  shilingi 1,500 /= kwa CD moja kwa rejareja.

Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, Mtitu aliweka picha hiyo hapo juu na kuandika maneno haya;

"Wakati tukiangaika maporini kushuti sinema zenye ubora wasanii wenzetu sijui tuite upumbavu au kutojielewa wanajifungia ndani na wàhindi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba mpya tumeanza vibaya, tutamaliza vibaya

UTEUZI  wa wajumbe wa Bunge la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete juzi hauonekani kuwa na jambo jipya, umezingatia yale yale yaliyokuwa yanatarajiwa kwa kiwango kikubwa. Ni uteuzi uliowaweka walalamikaji...

 

10 years ago

GPL

KIBAKA WAMFANYIA KITU MBAYA AUNTY LULU

Stori: Gladness Mallya
HUKU akiwa bado hajapona jeraha la kuchanwa usoni na bwana’ke, mwanadada asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefanyiwa kitu mbaya na vibaka na kumnyang’anya kila alichokuwa nacho. Mwanadada asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. Akizungumza na paparazi wetu, Aunty Lulu alisema tukio hilo lilitokea wiki iliyopita maeneo ya...

 

11 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA SAJUKI... BONGO MOVIE WAMFANYIA MBAYA WASTARA

Stori: Brighton Masalu na Deogratius Mongela
DUA maalum ya kumbukumbu na kumuombea aliyekuwa msanii wa filamu Bongo, Marehemu Juma Issa Kilowoko ‘Sajuki’ imezua minong’ono mingi kufuatia wasanii wengi wanaounda Kundi la Bongo Movie kudaiwa kumfanyia mbaya mkewe, Wastara Juma kwa kutohudhuria, Ijumaa Wikienda lilikuwepo. Dua hiyo ya ilifanyika Jumamosi iliyopita nyumbani kwa marehemu Tabata-Bima, Dar na...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS WAMFANYIA ‘SAPRAIZ YA BETHIDEI’ SHIGONGO

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo akikata keki.…

 

11 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA JUMUIYA COLUMBUS, OHIO WAMFANYIA DINNER BALOZI LIBERATA MULAMULA NA MUMEWE

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na katibu wa Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio Bi. Happiness Salukele wakiwemo wajumbe wa Jumuiya Nasra Murumah, Chiseko Hamisi na kushoto ni mweka hazina wa Jumuiya Bi. Vera Teri  Mhe. Balozi Liberata Mulamula na Mumewe Bwn. George Mulamula wakikaribishwa kwenye mgahawa wa Mitchell's Steakhouse wa Columbus, Ohio na wajumbe wa Jumuiya wakiwemo viongozi kwenye chakula cha jioni walichomuandalia Mhe. Balozi na...

 

11 years ago

GPL

VIONGOZI WA JUMUIYA COLUMBUS, OHIO WAMFANYIA DINNER BALOZI LIBERATA MULAMULA NA MUMEWE‏

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na katibu wa Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio Bi. Happiness Salukele wakiwemo wajumbe wa Jumuiya Nasra Murumah, Chiseko Hamisi na kushoto ni mweka hazina wa Jumuiya Bi. Vera Teri  Mhe. Balozi Liberata Mulamula na Mumewe Bwn. George Mulamula wakikaribishwa kwenye mgahawa wa Mitchell's Steakhouse wa Columbus, Ohio na wajumbe wa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani