Washitakiwa sita wizi wa NMB Ubungo kunyongwa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetoa hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa washitakiwa sita kati ya 14 waliohusika katika mauaji ya askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wa mkoani Morogoro na mfanyakazi wa Benki ya NMB, wakati wa uporaji wa fedha katika eneo la Ubungo Mataa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania20 Dec
Wauaji wa Ubungo wahukumiwa kunyongwa - Ni wale waliohusishwa na uporaji wa fedha za NMB
![Jaji Mkuu Othman Chande](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/12/Jaji-Chande1.jpg)
Jaji Mkuu Othman Chande
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam,
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa washtakiwa sita katika kesi ya mauaji ya askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wa mkoani Morogoro na mfanyakazi wa Benki ya NMB, maarufu kama mauaji ya Ubungo Mataa.
Washtakiwa hao waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa jana na Jaji Projest Rugazia ni Haji Kiweru, Mashaka Pastory, Wycliff Imbora, John Mndasha, Martine Mndasha na Rashidi Abdikadir.
Jaji Rugazia...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Wezi NMB kunyongwa
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Moshi, imetoa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa washitakiwa wawili raia wa Kenya, waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya askari polisi PC Michael Milanzi. Washitakiwa...
10 years ago
Mwananchi19 Dec
Mahakama yawahukumu watu Sita kunyongwa hadi kufa
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-k5ilM3q2WxY/U5hYVSDEPfI/AAAAAAAAFEE/1bgV3NCA01E/s72-c/moshi-1.jpg)
Breaking Newss:WAKENYA WAWILI WAHUKUMIWA KUNYONGWA,NI WALE WALIPORA FEDHA BENKI YA NMB TAWI LA MWANGA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-k5ilM3q2WxY/U5hYVSDEPfI/AAAAAAAAFEE/1bgV3NCA01E/s1600/moshi-1.jpg)
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
MAHAKAMA kuu kanda ya Moshi imetoa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa washtakiwa wawili raia wa Kenya katika kesi ya mauaji ya askari Polisi, Pc Michael Milanzi, wakati wa tukio la uporaji wa fedha katika benki ya NMB tawi la Mwanga mkoani Kilimanjaro. Mbali na hukumu hiyo iliyosomwa na Jaji mfawidhi wa Mahakama kuu, Kakusulo Sambo kwa zaidi ya saa, nne ,Mshatakiwa wa tatu katika kesi hiyo ,Karisti Kanje(Mtanzania) yeye amehukumiwa...
11 years ago
Mwananchi12 Jun
Wizi NMB Mwanga: Wakenya wawili wahukumiwa kifo
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Mtumishi NMB kortini kwa wizi wa Sh1 bilioni
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Jela miezi sita kwa wizi wa jeneza
10 years ago
Habarileo18 Nov
Sita mbaroni wizi wa milioni 500/-Stanbic
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watu sita wakiwemo raia wawili wa Kenya, baada ya kukiri kuhusika na wizi wa fedha zaidi ya Sh milioni 500 zilizoibwa Oktoba 23 mwaka huu katika Benki ya Stanbic, tawi la Mayfair, Kinondoni.