Wasomi 10,500 wawania nafasi 70
KATIKA hali inayoashiria ukubwa wa tatizo la ajira katika sekta rasmi nchini, wasomi 10,500 wa ngazi ya Chuo Kikuu jana walijitokeza kwenye usaili wa Idara ya Uhamiaji nchini inayohitaji kuajiri watu 70 tu.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi9 years ago
Habarileo20 Nov
5 wawania umeya
KINYANG’ANYIRO cha kumsaka Meya wa Jiji la Arusha kinashika kasi kwani madiwani watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wameonesha nia ya kuwania kiti cha Umeya wa Jiji la Arusha.
9 years ago
Habarileo19 Nov
5 wawania umeya, makamu
MADIWANI watano kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Lindi Mjini mkoani hapa, wamejitokeza kuchukua fomu na kurudisha wakiwania ridhaa ya chama hicho kugombea nafasi ya Meya na makamu wake kwenye uchaguzi utakaofanyika mwezi huu katika Manispaa ya Lindi.
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Uhamiaji, Mbweni wawania ubingwa
10 years ago
Raia Mwema25 Jun
Tuwaulize wawania urais maswali magumu
NIANZE makala hii kwa kuomba radhi kutokana na kushindwa kuwaletea makala katika toleo lililopita
Evarist Chahali
9 years ago
Mwananchi01 Dec
Saba CCM wawania umeya Tabora
9 years ago
GPLWAWANIA USPIKA WAANZA KUCHUKUA FOMU
10 years ago
Habarileo11 May
Bano awaonya wawania ubunge CCM
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Arusha kimewaonya makada wake waliojitokeza na kutangaza nia ya kuwania ubunge Jimbo la Arusha Mjini, kuacha tabia ya kuchafuana na kuanza kampeni kabla ya muda.
10 years ago
Habarileo28 Feb
Kiama wawania Urais CCM leo
KAMATI Kuu ya CCM (CC) iliyosubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye inakutana leo na suala kubwa linalotarajiwa na wanachama na wananchi, ni tathmini ya hukumu ya vigogo sita wa chama, waliokuwa wakitumikia adhabu baada ya kubainika kuanza kampeni za urais mapema.