‘Wasomi Afrika wanatuangusha’
Wasomi barani Afrika wameshutumiwa kwa kuendelea kuyaruhusu mataifa ya kigeni kujinufaisha na rasilimali za bara hili, huku wenyewe wakishindwa kuonyesha uwezo wao kitaaluma.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx-fhu72HTAukPZQv5lMDGK6z7GF2wKqy7ron8Oj7r18tHs9n3AeJPRADDtHikbkCM93bmccOT79XEpl80V7DRk4/KEMMY.jpg)
KEMMY: WASAMBAZAJI WANATUANGUSHA
Stori: Maria Halimoja LAWAMA! Msanii maarufu katika tasnia ya filamu Bongo, Julieth Samson ‘Kemmy’ amesema wasambazaji wa filamu Bongo wamekuwa kikwazo cha mafanikio yao. Msanii maarufu katika tasnia ya filamu Bongo, Julieth Samson ‘Kemmy’. Akipiga stori na paparazi wetu, Kemmy alisema wasambazaji ndiyo chanzo cha umaskini kwani wamekuwa wakichelewesha filamu kuingia sokoni kwa kuziweka muda mrefu hata...
11 years ago
Mwananchi09 Dec
Wasomi: Kifo cha Nelson Mandela hakitaathiri siasa za Afrika Kusini
Kifo cha Shujaa aliyepigania Uhuru wa Afrika Kusini, Nelson Mandela kimedaiwa hakitaathiri kwa namna yoyote mwelekeo wa siasa na uchumi wa nchi hiyo kwa siku zijazo.
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Aspp9PU-Cw8/U4BgfmpHJUI/AAAAAAAFkuY/0iPL1Li8y28/s72-c/2.jpg)
DKT. BILAL AWAELEZA WASOMI JAPAN UMUHIMU WA VITEGA UCHUMI KWA MAENDELEO YA AFRIKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-Aspp9PU-Cw8/U4BgfmpHJUI/AAAAAAAFkuY/0iPL1Li8y28/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-iUDoNIWnNxs/U4BgfqMprII/AAAAAAAFkuk/A353-zdo5Zc/s1600/3..jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-paaJO536NhQ/U4Bgf0JCGFI/AAAAAAAFkuc/32kqm8jiF0Q/s1600/4..jpg)
11 years ago
Dewji Blog25 May
Makamu wa Rais Dkt. Bilal awaeleza wasomi Japan umuhimu wa vitega uchumi kwa maendeleo ya Afrika
Na Mwandishi Maalum, Tokyo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal amesema nchi zinazoendelea hususan za Kiafrika bado zinahitaji uwekezaji zaidi vitega uchumi kutoka nje (FDIs) ili kupata...
11 years ago
Mwananchi23 Mar
Wasomi wampinga JK
Wasomi na wachambuzi wa masuala ya kisiasa wameikosoa hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa bungeni juzi, huku wengine wakisema inaweza kulivunja Bunge Maalumu la Mabadiliko ya Katiba.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania