Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KEMMY: WASAMBAZAJI WANATUANGUSHA

Stori: Maria Halimoja LAWAMA! Msanii maarufu katika tasnia ya filamu Bongo, Julieth Samson ‘Kemmy’ amesema wasambazaji wa filamu Bongo wamekuwa kikwazo cha mafanikio yao. Msanii maarufu katika tasnia ya filamu Bongo, Julieth Samson ‘Kemmy’. Akipiga stori na paparazi wetu, Kemmy alisema wasambazaji ndiyo chanzo cha umaskini kwani wamekuwa wakichelewesha filamu kuingia sokoni kwa kuziweka muda mrefu hata...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Wasomi Afrika wanatuangusha’

Wasomi barani Afrika wameshutumiwa kwa kuendelea kuyaruhusu mataifa ya kigeni kujinufaisha na rasilimali za bara hili, huku wenyewe wakishindwa kuonyesha uwezo wao kitaaluma.

 

10 years ago

Michuzi

NAFASI ZA KAZI - WASAMBAZAJI DAWA

Kituo  kinacho  jihusisha  na  tiba asilia  na huduma  ya  vyakula-lishe  kwa  wenye kusumbuliwa  na  matatizo  mbalimbali  ya  kiafya, kinatangaza  nafasi   za  kazi  ya  usambazaji dawa  kwa  wateja  wake  waliopo  katika maeneo  mbalimbali  ya  jiji  la  Dar  Es  salaam.SIFA   ZA  MWOMBAJI :1.                       Awe  wa jinsia  ya  kike2.                       Elimu  isiyopungua  darasa  la  saba  na isiyo  zidi  kidato  cha  nne.3.                       Awe  msafi, maridadi,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wasambazaji bidhaa za TBL wanavyoneemeka

BIASHARA ya usambazaji wa vileo nchini kupitia kampuni ya Bima Tanzania (TBL), imeendelea kuwainua kiuchumi wasambazaji maeneo mbalimbali nchini. Mojawapo ya faida ambayo mawakala wanapata kupitia biashara hiyo ni uwezo...

 

9 years ago

GPL

JB: AWACHANGANYA WASAMBAZAJI WAWILI WA SINEMA, MMOJA ACHACHAMAA!

Hakika simulizi hii ya maisha ya JB, inabadilisha mtazamo wa watu wengi juu ya maisha. Waliokuwa wamekata tamaa, wamepata matumaini mapya. Wametiwa moyo na jinsi ambavyo msanii huyu ameweza kupambana na maisha hadi kufika mahali alipo sasa.  Mateso, maumivu, dhoruba na mikikimikiki ambayo JB amekutana nayo katika safari ya maisha, imekuwa somo kubwa kwa wengi. Nimekuwa nikipokea simu na meseji nyingi sana kutoka kwa wasomaji,...

 

10 years ago

StarTV

Wazalishaji, wasambazaji waaswa kuingiza Sukari sokoni

Na Neema Ndetto,

Dar es Salaam

 

Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imewaagiza wazalishaji na wasambazaji wakubwa wa sukari nchini kuingiza Sukari sokoni na kuhakikisha inapatikana kwa bei ambayo watanzania wanaweza kuimudu.

 

Maagizo hayo yametolewa baada ya Serikali kuzuia sukari ya nje kuuzwa hapa nchini hali iliyosababisha kupanda kwa bei ya sukari kati ya shilingi 2500 hadi 3000.

cialis nitrato

 

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Kilimo,...

 

10 years ago

GPL

WASAMBAZAJI NA WATAYARISHAJI WA FILAMU NCHINI UTATA MTUPU

Baadhi ya waandaji wa filamu, Chiki Mchoma (kushoto), Wastara  na Jimmy Mafufu. Msanii Bond bin Suleman akichangia hoja. KUFUATIA baadhi ya wadau kutangaza kushusha bei ya filamu  nchini, baadhi ya wasanii, wasambazaji na watayarishaji wamejikuta wakigawanyika huku wengine wakionekana kukubali na wengine kupinga kitendo hicho.
Leo… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

11 years ago

Michuzi

PSI yafanya mkutano na wasambazaji wa kanda ya kaskazini

Shirika lisilo la kiserikali linalo fanya kazi chini ya wizara ya afya PSI/Tanzania kanda ya kaskazini ambalo ni wasambazaji wa salama kondom na bidhaa nyingine za afya zikiwezo zile za uzazi wa mpango za familia pamoja watergurad, mwishoni mwa wiki limefanya mkutano na mawakala wateule wa kanda ya kaskazini inayohusisha mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, Arusha an Manyara uliofanyika katika hoteli ya Silver Palm iliyoko hapa jijini Arusha ukiwa na lengo la kujadili mafanikio, changamoto na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani