NAFASI ZA KAZI - WASAMBAZAJI DAWA
Kituo kinacho jihusisha na tiba asilia na huduma ya vyakula-lishe kwa wenye kusumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya, kinatangaza nafasi za kazi ya usambazaji dawa kwa wateja wake waliopo katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar Es salaam.SIFA ZA MWOMBAJI :1. Awe wa jinsia ya kike2. Elimu isiyopungua darasa la saba na isiyo zidi kidato cha nne.3. Awe msafi, maridadi,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi10 years ago
Michuzi30 Oct
NAFASI ZA KAZI
wawe na uwezo wa kuzungumza kiingereza na kiswahili fasaha. elimu kuanzia diploma.
Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0756608383 na 0713608383
11 years ago
TZToday03 Aug
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi...
11 years ago
Michuzi17 Jun
10 years ago
Michuzi02 Dec
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MADEREVA
10 years ago
BBCSwahili02 Oct
Nafasi ya kazi BBC Swahili
11 years ago
MichuziNAFASI ZA KAZI YA UALIMU BAGAMOYO
Shule ya sekondari ya wasichana ya Premier iliyoko Kiromo Bagamoyo inapenda kuwatangazia nafasi za kazi ya ualimu kwa masomo yafuatayo
ENGLISH
SWAHILI
BOOKKEEPING
COMMERCE
Fika shuleni Kiromo kwa kuleta maombi yako siku ya mahojiano ni tarehe 22 na 23 May 2014 au kwa maelezo zaidi piga simu namba 0715836237
11 years ago
GPLNAFASI ZA KAZI KUTOKA TANAPA
10 years ago
Vijimambo04 Jul
NAFASI YA KAZI UBALOZI WA MAREKANI
EMPLOYMENT OPPORTUNITY
PROCUREMENT AGENT (RE-ADVERTISED)ALL ORDINARILY RESIDENT (OR) APPLICANTS MUST HAVE THE REQUIRED WORK AND/OR RESIDENCY PERMITS TO BE ELIGIBLE FOR CONSIDERATION.The US Embassy is seeking for an individual for the position of Procurement Agent in the General Services Section.BASIC FUNCTION OF POSITIONAs part of the Procurement Team, incumbent will be responsible for all acquisition requirements for Department of State – Dar es Salaam and other related government agencies....