JB: AWACHANGANYA WASAMBAZAJI WAWILI WA SINEMA, MMOJA ACHACHAMAA!
![](http://api.ning.com:80/files/7KfVtj4CX6h2vTfQy-geGYoDA9UYvAulrJDEbX71U3V8BFhYZVSTD5aPA9QM-1MC8BJYuNR1itp2LNrV3KtmnOYB5Ur4fLPZ/JAB.jpg?width=650)
Hakika simulizi hii ya maisha ya JB, inabadilisha mtazamo wa watu wengi juu ya maisha. Waliokuwa wamekata tamaa, wamepata matumaini mapya. Wametiwa moyo na jinsi ambavyo msanii huyu ameweza kupambana na maisha hadi kufika mahali alipo sasa. Mateso, maumivu, dhoruba na mikikimikiki ambayo JB amekutana nayo katika safari ya maisha, imekuwa somo kubwa kwa wengi. Nimekuwa nikipokea simu na meseji nyingi sana kutoka kwa wasomaji,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qhmaNpdkdBtFSQp3B6eGl8jHikY3acy4wdCm4mSyXwFEHFoAicJifiMtGgotJCxpCkTGdCpiQQMaUaHF38CclfR2OVMcpaKv/2.gif)
WAFALME WAWILI, MALKIA MMOJA, JUKWAA MOJA PASAKA DAR LIVE
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-TBplvLPVm0M/VAgMenYcRhI/AAAAAAAGdXI/MHkMfpebRJ8/s72-c/1.jpg)
MMOJA NA WENZAKE WAWILI MBARONI KWA KUKUTWA NA PEMBE ZA NDOVU MKOANI DODOMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-TBplvLPVm0M/VAgMenYcRhI/AAAAAAAGdXI/MHkMfpebRJ8/s1600/1.jpg)
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kw ajina la DOUGLAS S/O MNYEKE, Miaka 46, Mkaguru Mukulima na Mkazi wa kijiji cha Silwa Kata ya Pandambili, Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma akiwa na pembe za ndovu vipande vitatu vyenye uzito wa jumla ya kilo 12 na gramu 30 vyenye thamani ya Tshs. 11, 162, 250/= vikiwa nyumbani kwake.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME –...
11 years ago
Dewji Blog01 Jul
Basi la Lushanga laua mmoja na kujeruhi wawili Sengerema, Picha na habari ziko hapa!
Kijana ambaye ni dereva wa toroli la miguu minne jina lake halikuweza kupatikana mara moja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 32 amefariki dunia papo hapo na kupasuka Kichwa baada ya kugongwa na basi la abiria lililokuwa likitokea mkoa wa Geita kuelekea jijini Mwanza kwenye makutano ya barabara ya Kamanga na Busisi wilayani Sengerema mkoani Mwanza. Kijana huyo pia alikuwa akiendesha Pikipiki bila kuvaa “Helmet” huenda ingemsaidia asipasuke Kichwa.(Picha na Zainul Mzige).
Na MOblog,...
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Spika Anna Makinda achachamaa
10 years ago
Habarileo31 Dec
Mwakyembe achachamaa, amng’ang’ania bosi TICTS
MKURUGENZI Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya ushushaji mizigo bandarini (TICTS), Paul Wallace na menejimenti yake wanatakiwa kufika leo saa 2:00 asubuhi ofisini kwa Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe kutoa maelezo kwa kukiuka Sheria na kutumia viwango vya ubadilishaji fedha za kigeni, tofauti na vile vinavyoelekezwa na Benki Kuu Tanzania (BoT).
11 years ago
Mwananchi23 Mar
JK awachanganya wananchi
11 years ago
Habarileo20 Mar
Warioba awachanganya wabunge
BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wamekiri kuchanganywa kutokana na hotuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ambayo walidai imeibua mambo mengi ambayo hawakuwa wanayafahamu.
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Lembeli awachanganya viongozi wa CCMÂ
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ wilayani Kahama wanapata wakati mgumu kuchukua maamuzi kwa Mbunge wa Jimbo hilo, James Lembeli, kutokana na kukinzana na chama chake juu ya muundo wa...