Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi wa vyeti wataiendeleza nchi yetu?

Nchi nyingi za Afrika ikiwamo Tanzania, ina mifumo ya shule inayotoa elimu bandia na hatimaye wasomi bandia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASOMI NDIYO WANAITAFUNA NCHI HII!

Makala: Sifael Paul
Hatuwezi kunyamaza! Kuhusu uchotwaji wa fedha nyingi za umma, za wavuja jasho Watanzania kiasi cha Sh. bilioni 306 zilizopotea katika Akaunti ya Tegeta Escrow kwenye Benki Kuu ya Tanzania kwa ajili ya kununulia umeme wa Kampuni ya IPTL, pasi na shaka utakubaliana nami kuwa wasomi ndiyo wanaoitafuna nchi hii. Profesa Sospeter Muhongo. Hii ni kashfa kubwa hasa inapoonekana wajanja wachache ambao ni wezi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nchi yetu imevurugwa

LEO nazungumzia mambo mawili makubwa. Kwanza ni suala la wagombea wa vyama vya siasa kutopata idadi inayotakiwa; na pili ni suala la akaunti ya Tegeta Escrow lililotawala mijadala ya Bunge...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania na wasomi wasiokuwa na maadili, wanaofilisi nchi

“..Tunatumia fedha nyingi sana zisizolingana na uwezo wetu kuwasomesha watu wachache, ili baadaye na wao walete faida kubwa kiasi hicho hicho katika nchi.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Tanzania Daima

Tusipokemea rushwa tutaiangamiza nchi yetu

TANZANIA hivi sasa inakabiliwa na rushwa, ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka ambayo kwa kiasi kikubwa yamechangia kusuasua kwa maendeleo. Baaadhi ya Watanzania wenzetu wamekuwa na tabia ya kuwakejeli viongozi...

 

11 years ago

Mwananchi

Tutumie hii sanaa kuitangaza nchi yetu

“Naweza kusema sanaa inachukua muda mwingi wa maisha yangu. Kwani katika kila dakika ninayoishi, nimekuwa nikiitumia kufikiri ni kitu gani kipya cha ubunifu naweza kufanya kujiingizia kipato,” anaanza kusema mbunifu wa mitindo na msanii wa mkongwe nchini Fatma Amour.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali isipolipa madeni nchi yetu itauzwa

Tunalazimika leo kuihadharisha Serikali kuhusu madhara yatakayotokea kwa nchi yetu kutokana na kutolipa madeni, iwe ya nchini mwetu au ya nje

 

10 years ago

Mwananchi

Usalama wa nchi yetu ni wa sisi wote, tusifanye mzaha

Katika hotuba yake ya kila mwezi, Rais Jakaya Kikwete amezungumzia mambo matano, mmojawapo ikiwa ni hali ya usalama nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani