Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tutumie hii sanaa kuitangaza nchi yetu

“Naweza kusema sanaa inachukua muda mwingi wa maisha yangu. Kwani katika kila dakika ninayoishi, nimekuwa nikiitumia kufikiri ni kitu gani kipya cha ubunifu naweza kufanya kujiingizia kipato,” anaanza kusema mbunifu wa mitindo na msanii wa mkongwe nchini Fatma Amour.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MARTIN KADINDA KUITANGAZA TANZANIA KATIKA NCHI ZA KENYA NA ZAMBIA MWAKA HUU


Mshindi wa tuzo za mitindo na mbunifu aliyetamba na mavazi ya single button kwa takribani miaka miwili sasa Martin Kadinda anategemea kuanza ziara ya kuonyesha mavazi yake katika nchi kadhaa  za kiafrica.

Kadinda amesema kuwa kwa mwaka huu amepanga kufanya maonesho yake nje ya nchi kwa sana kwa kuwa huko ndio kunaitangaza nchi na brand yake kwa ujumla.
Show yake ya kwanza kwa mwaka huu itakuwa Nchini Kenya katika Jiji la Nairobi usiku wa tarehe moja akiwa na wabunifu kutoka tanzania na...

 

9 years ago

Mwananchi

KUTOKA LONDON : Wakenya wakutana London kuitangaza nchi yao inayozidi kupendwa majuu

“Kenya and Friends in the Park” – yaani Kenya na marafiki zao kukutana kiwanjani ilihamasishwa na dada mcheza ngoma, mwanatamthiliya na mwanahabari Lydia Olet. Bango lenye taswira ya Simba na Mmasai aliyevaa lubega la miraba; kifua wazi na mkuki mkononi. Maneno yalisema burudani itakuwa Jumamosi tarehe 29 Agosti kuanzia tano asubuhi hadi mbili usiku. Kiingilio bure.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nchi yetu imevurugwa

LEO nazungumzia mambo mawili makubwa. Kwanza ni suala la wagombea wa vyama vya siasa kutopata idadi inayotakiwa; na pili ni suala la akaunti ya Tegeta Escrow lililotawala mijadala ya Bunge...

 

10 years ago

Mwananchi

Hii nayo ni sanaa ya kimataifa

Utamaduni wa Mtanzania, katika sekta ya burudani, unaweza ukapotea kama waongeaji tusipotumia majukwaa yetu ya kuongelea na kuliongelea hili angalau kwa uchache.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tusipokemea rushwa tutaiangamiza nchi yetu

TANZANIA hivi sasa inakabiliwa na rushwa, ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka ambayo kwa kiasi kikubwa yamechangia kusuasua kwa maendeleo. Baaadhi ya Watanzania wenzetu wamekuwa na tabia ya kuwakejeli viongozi...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

Wasomi wa vyeti wataiendeleza nchi yetu?

Nchi nyingi za Afrika ikiwamo Tanzania, ina mifumo ya shule inayotoa elimu bandia na hatimaye wasomi bandia.

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio sababu inayomfanya Guardiola aondoke FC Bayern na kuthibisha kwenda nchi hii (+Video)

Bado headlines za anayetajwa kuwa kocha ghali kwa sasa duniani Pep Guardiola anakwenda kufundisha klabu gani zinazidi kuchukua nafasi, tayari Pep Guardiola ametaja nchi atakayokwenda kufundisha soka baada ya kukiri kuwa hatoendelea na kuifundisha klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani. Pep Guardiola amekiri kuamua kuondoka ndani ya klabu ya FC Bayern, baada ya kuitumikia […]

The post Hii ndio sababu inayomfanya Guardiola aondoke FC Bayern na kuthibisha kwenda nchi hii (+Video) appeared first...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani