Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASTAAFU WA JWTZ WAKIFANYA USAJILI WA NSSF MKOANI MOROGORO

Kusajiliwa wastaafu wa jeshi.
 Ofisa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),mkoa wa Morogoro, Abdul Mzee ( kushoto) akichukua alama ya vidole kwa Mwanachama wa  Muungano  wa wanajeshi wastaafu Tanzania (MUWAWATA), Luteni mstaafu, Josephat Mtema, sept 13, mwaka huu ,ili kujiunga na NSSF kwa mfumo wa kuchangia kwa hiari kwa ajili ya  kunufaika na huduma za mfuko huo ikiwa na matibabu wakati walipokuwa katika mkutano wa kawaida wa siku mbili uliofanyika Bwalo la Umwema ,mjini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NSSF YADHAMINI MASHINDANO YA SHIMISEMITA MKOANI MOROGORO

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ndio mdhamini Mkuu wa mashindano ya Shirikisho la Michezo Serikali za Mitaa (Shimisemita) inayoendelea katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro  hadi Novemba 11.


 Katika mashindano hayo NSSF imepata fursa ya kutoa elimu kuhusu Mafao mbalimabli yatolewayo na Shirika hilo ikiwemo Mango mpya kwa ajili ya Wakulima na Wachimbaji wadogo wa Madini.
Katika mpango huo, Wakulima sasa wanaweza kujiunga na NSSF na kufaidika na Mafao mbalimbali yanayotolewa na...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATEMBELEA VIKOSI VYA JWTZ VYA KOMANDO NA UHANDISI MEDANI MKOANI MOROGORO

Na Luteni Kanali Juma Nkangaa Sipe

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Rais Jakaya Kikwete amefanya Ziara ya siku moja katika Vikosi vya Jeshi la Wanannchi wa Tanzania (JWTZ) vya Komando na Uhandisi Medali vilivyopo Mkoani Morogoro.
Akizungumza katika kikao maalum na Maafisa Askari wa vikosi hivyo,Rais Kikwete amesema ameridhishwa sana na utimamu wa vikosi hivyo kimafunzo na pia amehidi kukiongezea vifaa zaidi kikosi cha Uhandisi wa Medani ili...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATEMBELEA VIKOSI VYA JWTZ VYA KOMANDO NA UHANDISI MEDANI MKOANI MOROGORO MACHI

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Rais Jakaya Kikwete amefanya Ziara ya siku moja katika Vikosi vya Jeshi la Wanannchi wa Tanzania (JWTZ) vya Komando na Uhandisi Medali vilivyopo Mkoani Morogoro.
Akizungumza katika kikao maalum na wakuu wa vikosi,Rais Kikwete amesema ameridhishwa sana na utimamu wa vikosi hivyo kimafunzo na pia amehidi kukiongezea vifaa zaidi kikosi cha Uhandisi wa Medani ili kiweze kupambana na majanga hapa...

 

10 years ago

GPL

MAJENERALI 12 WASTAAFU WA JWTZ WAAGWA DAR

Wastaafu na viongozi wa juu wa jeshi wakiwa katika meza kuu. Meja Jenerali Chalres Jitenga (kushoto) Meja Jenerali mstaafu Hassan Chema (katikati) na Luteni Jenerali, Charles Makakala.…

 

10 years ago

Mwananchi

NSSF kuanza kukopesha wastaafu wake

 Wastaafu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) wanatarajia kunufaika na mikopo ya riba nafuu kutoka Benki ya Posta itakayoanza kutolewa kuanzia mwezi huu.

 

10 years ago

Michuzi

WASTAAFU WA NSSF MKOA WA TEMEKE WAAGWA RASMI

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu wa shirika hilo kutoka ofisi ya mkoa wa Temeke.
Meneja Kiongozi mpya wa Ofisi ya NSSF Mkoa wa Temeke, Chedrick Komba akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu wa NSSF. Mstaafu wa NSSF, Brahan Newa kutoka Kitengo cha Takwimu akisalimiana na mstaafu mwenzake, aliyekuwa Meneja Kiongozi, Ofisi ya NSSF mkoa wa Temeke, Yahya Mhamali wakati wa hafla ya...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YAFUTURISHA WASTAAFU WAKE MKOA WA TANGA

Principle Operation Officer wa NSSF, Joyce Mruma akigawa zawadi kwa wastaafu wa NSSF wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na shirika hilo. Ofisa Mwandamizi wa Operesheni wa NSSF, Lydia Ignace akitoa zawadi kwa wastaafu wa Shirika hilo waliohudhuria hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na NSSF kwa ajili ya wastaafu wa Mkoa wa Tanga.Principle Operation Officer wa NSSF, Joyce Mruma akitoa zawadi kwa mstaafu wa NSSF, Bella Antao wakati wa hafla ya kufuturisha wastaafu wa Shirika ...

 

10 years ago

Vijimambo

NSSF yaanza rasmi usajili wa vijana Sports academy


Badhi ya wazazi wakiwasimamia watoto wao katika zoezi la kujaza fomu kwa ajili ya kujiunga na kituo kipya cha michezo cha NSSF-Real Madrid Academy. SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa kushirikiana na Klabu ya Real Madrid ya Hispania, limezindua mchakato wa usajili wa vijana walio chini ya umri wa miaka 14, watakaochujwa kusaka nafasi ya kujiunga na NSSF–Real Madrid Sports Academy.
Mchakato huo wa usajili umefanyika leo kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Ilala jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani