Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wastaafu wasifu utendaji wa Dk Magufuli

UMOJA wa Wazee Wastaafu mkoani Shinyanga (UWASHI), wamempongeza Rais John Magufuli kwa utendaji wake wa kazi ambao wameeleza kuwa unafanana na ule wa enzi ya Mwalimu Julius Nyerere.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wabunge wasifu hotuba ya Magufuli

WABUNGE wamesifu hotuba ya ufunguzi wa Bunge la 11 iliyotolewa bungeni jana na Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Hotuba hiyo ni ufunguzi rasmi wa Bunge la 11, ambapo mkutano wa kwanza wa bunge hilo ulianza Jumanne wiki hii mjini hapa.

 

9 years ago

Habarileo

AFP wasifu kasi ya Rais Magufuli

CHAMA cha siasa cha Alliance for Tanzania Farmers (AFP) kimetoa pongezi kwa Rais John Magufuli na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa kasi ya utendaji kazi ambayo wameionesha na kuleta matumaini kwa wananchi.

 

9 years ago

Mwananchi

Wapinzani wapongeza utendaji wa Magufuli

Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Profesa Abdallah Safari amemshauri Rais John Magufuli kuipitia upya mikataba ya madini na kuifanyika marekebisho ili kuboresha maisha ya Watanzania.

 

9 years ago

Michuzi

ONLY IN TANZANIA: RAIS MAGUFULI AKIWA NA MARAIS WASTAAFU BUNGENI DODOMA

Andika caption ya taswira hii kwenye sehemu ya maoni. Ikivutia  zaidi ya zote utapata zawadi ya fulana ya #HAPAKAZITU.Mwisho wa kutuma caption ni Kesho Jumapili saa sita usiku.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AKABIDHI ZAWADI YA TAUSI 100 KWA MARAIS WASTAAFU

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Hati ya Makabidhiano ya zawadi ya Ndege aina ya Tausi 25 kwa Mama Maria Nyerere mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya kuwafuga katika Makazi yake, hafla hiyo fupi ilifanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi hati ya Makabidhiano ya ndege aina ya Tausi 25 kwa Rais Mstaafu wa Awamu...

 

9 years ago

StarTV

UWT Dar  wampongeza Utendaji Wa Rais Magufuli kwa mwanzo mzuri

 

Umoja wa Wanawake  wa Chama cha Mapinduzi, U.W.T Mkoa wa Dar es salaam wamempongeza Rais Magufuli kwa uwajibikaji wake na utendaji kazi kwa kupiga vita mafisadi na wakwepa kodi.

Rais Magufuli amefananishwa na hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa ufuatiliaji na kasi yake aliyoianza ya kuwa karibu na wananchi katika kuhakikisha anakomesha kero zao na kuwawajibisha viongozi wazembe.

Janeth Masaburi ni Mwenyekiti wa U.W.T. mkoa wa Dar es salaam amewataka watanzania bila...

 

9 years ago

Dewji Blog

BAKWATA Mkoani Singida wapongeza utendaji wa Rais Dk. Magufuli aliyoanza nayo!

bakwataa

Katibu BAKWATA mkoa wa Singida,Alhaj Burhan Mlau,akiwa ofisini kwake akitekeleza majukumu yake jana.Picha na Nathaniel Limu.

Na Nathaniel Limu

[SINGIDA]

Aina ya kasi ya utendaji kazi aliyoanza nayo rais Dk.John Pombe Magufuli,imeendelea kuwakuna Watanzania wengi  kila kona ya nchi,wakiwemo viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini.

Katibu wa BAKWATA mkoa wa Singida,Alhaj Burhan Mlau,amesema kutokana na utendaji ulioonyeshwa na Dk.Magufuli kwa muda mfupi,ana imani kubwa kwamba utendaji huo...

 

5 years ago

CCM Blog

BABA WA UZAO: RAIS DK. MAGUFULI HANA HISTORIA YA KUSHINDWA KATIKA UTENDAJI WAKE

TEGETA, Dar es Salaam
Kanisa Halisi la Mungu Baba lililopo Tegeta jijini Dar es Salaam, limesema, Rais Dk. John Magufuli, hana historia ya kushindwa katika utendaji wake kwa kuwa amebarikiwa na Mungu Baba, hivyo kila atakayemwinua na kumuombea mema kama lilivyofanya kanisa hilo atapata baraka tena za halali kabisa.

Hayo yamesemwa jana na Kiongozi wa Kanisa hilo anayejulikana  kwa jina la Baba wa Uzao, wakati wa kuhitimisha ibada ya siku tisa ya kumuomba Mungu amfiche Rais Dk. Magufuli waovu...

 

5 years ago

Michuzi

UTENDAJI KAZI WA KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA SULEIMAN MZEE WAMKOSHA RAIS JOHN MAGUFULI


Na Said Mwishehe, Michuzi TVUTENDAJI kazi unaofanywa na Kamishna Jenereli wa Magereza Suleiman Mzee (pichani) umemkosha sana Rais Dk. John Pombe Magufuli ambapo amesema anafanya kazi nzuri sana na wakati mwingine amekuwa akimuona ameshika koleo kwa ajili ya kuchimba mchanga akishirikiana na wafungwa.
Akizungumza leo Mei 21 mwaka huu, akiwa katika Ikulu ya Chamwino Mjini Dodoma, Rais Magufuli amesema kuwa alifanya mabadiliko ya Kamishna Jenerali wa Magereza na kwamba aliyeko sasa anafanya kazi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani