WASTARA ACHUMBIWA, ABWAGWA
![](http://api.ning.com:80/files/sTg6vyO*vvESqwPUSBFXwXCXmQ7YDU*hx5Q4WMcUQcuOweLTcsVB3hzojsilbUePlf*EjEkqg1wmhJS*seUB1V7KS2xM5Ddb/wastaracopy.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema STAA wa sinema za Kibongo, Wastara Juma ametoboa kuwa, kuna wanaume kibao walimchumbia kwa nyakati tofauti, lakini wakabadilisha uamuzi huo na hivyo kumfanya aendelee kubaki mpweke. ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania27 Jul
Mbunge Chadema abwagwa
MBUNGE anayemaliza muda wake, Salvatory Machemli, amekuwa Mbunge wa kwanza wa jimbo kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kubwagwa kwenye kura za maoni zinazoendelea ndani ya chama hicho.
Machemli, aliyekuwa Mbunge wa Ukerewe mkoani Mwanza, alijikuta akishindwa kupata kura za kutosha katika uchaguzi huo uliofanyika juzi mjini Nansio, Ukerewe.
Awali, uongozi wa Chadema Makao Makuu ulikuwa na mapendekezo kwamba wabunge wa majimbo wa chama hicho wapite bila kupingwa na...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Joyce Banda abwagwa rasmi Malawi
HATIMAYE Profesa Peter Mutharika ameapishwa rasmi jana kuwa Rais wa Malawi baada ya kumbwaga aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Joyce Banda. Licha ya kucheleweshwa matokeo ya uchaguzi uliogubikwa na madai...
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Penny achumbiwa, amsahau Diamond
HATIMAYE aliyekuwa mpenzi wa staa wa muziki wa Bongo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ amesema amepona maumivu ya moyo baada ya kuvishwa pete ya uchumba. Penny ambaye...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pHhBdYiNnuLxX2gTZNwFkkccX2zbw5vd7DPdVHnf2oATGRviYUq3oRVqJvNFIcNHbOmIlJ8MAvb*WsIQgGD5xfF-5KtRQexf/KylieJennerMakeup2014AmericanMusicAwards.jpg?width=650)
MDOGO WA KIM KARDASHIAN ACHUMBIWA
10 years ago
Bongo517 Nov
Flaviana Matata achumbiwa, Russell Simmons ampongeza
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E9fEOxuVMyRU5PRpbp2qDp6tBaYlX81SMCnHONKVSioJ759r5bzWvgjaqKnMrq1g*Ku1V5X9dm5E0SBchHR4FqDHztlA9zRA/penny.jpg)
PENNY ACHUMBIWA, AONESHA PETE YA UCHUMBA INSTAGRAM
10 years ago
Michuzi25 Nov