Wastara: Hakuna na Mwanamke ‘Used’
Utamuacha Mwanamke fulani kwa kashfa zote na kejeli za kila namna kwamba hafai na haoleki ILA Mwanaume yule atamchukua na kudate nae na pengine atamuoa na wataishi kwa furaha na kuzaa watoto,atasahau hata kama uliwahi kuwa Boy wake na kashfa zako...Kapata Perfect Match yake....Mwanamke fulani ataachwa na wewe utakutana nae na kumpokea,na pengine utamuoa na kuishi kwa amani. Umepata Perfect match yako..Hii inaitwa Love Circle...
Hakuna Mwanaume wala Mwanamke 2nd hand/Used kwamba hafai...Kama...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies20 Feb
Wastara:Hakuna Kazi Rahisi Duniani
MWIGIZAJI I wa filamu nchini, Wastara Juma, amesema wale wote wanaofikiri sanaa ya kuigiza ni kazi rahisi, wamekuwa wakijidanganya.
Akizungumzia kuhusu ugumu wa kazi yake ya kuigiza, Wastara alisema katika dunia hakuna kazi nyepesi kwa sababu kila utakachokifanya kitahitaji matumizi ya akili na kufikiri.
“Kwa haraka haraka unaweza kusema kazi ya kuigiza ni nyepesi, lakini si kweli, lazima kila mmoja afahamu duniani kila kazi ina ugumu wake,” alisema Wastara.
Wastara alisema ugumu ambao...
10 years ago
Mtanzania20 Feb
Wastara: Hakuna kazi rahisi duniani
NA SHARIFA MMASI, DAR ES SALAAM
MWIGIZAJI I wa filamu nchini, Wastara Juma, amesema wale wote wanaofikiri sanaa ya kuigiza ni kazi rahisi, wamekuwa wakijidanganya.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Wastara alisema katika dunia hakuna kazi nyepesi kwa sababu kila utakachokifanya kitahitaji matumizi ya akili na kufikiri.
“Kwa haraka haraka unaweza kusema kazi ya kuigiza ni nyepesi, lakini si kweli, lazima kila mmoja afahamu duniani kila kazi ina ugumu wake,” alisema Wastara.
Wastara alisema ugumu...
9 years ago
Bongo Movies24 Dec
Wastara: Huyu Jamaa Nampenda Mfano Hakuna, Anafanana Vingi na Sajuki
Wastara na Mlela
Mama na mwana mama na baba nimeipenda kama ilivyo ila kiukweli huyu jamaa nampenda mfano hakuna, mpole muelewa hana makuu anao ubinadaamu hana ugomvi na mtu, mpole ajui kufoka wala kugombana akikasirika dk 2 tu anarudi kuwa normal. Sichoki kufanya nae kazi namchukulia ni mdogo wangu wa tumbo moja namfananisha vitu vingi na Sajuki si mwingine ni Yusuph Mlela au Mlelandro.
Hayo ni maneno ya mwigizaji Wastara Juma kwenye moja ya post zake kwenye mtandao picha wa instagram...
10 years ago
Bongo Movies25 Jun
Ndani ya ‘Mama na Mwana’ Utasema Hakuna Binadamu Anayeishi Gizani Milele-Wastara
Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amedokeza kuwa filamu ya Mama na Mwana imebeba ujumbe mzito wenye mfunzo ya namnagani tuishi.
Kupitia ukurasa wake mtandaoni, wastara ameeleza;
Mama na Mwana ni filamu mpya inayotarajiwa kutoka hivi karibuni ina mafunzo na kuelemisha maana kila siku binaadam tunatakiwa kunifunza kupitia kitu fulan nasi tupo kwa ajili ya kuelekeza kuonya kumpa mtu moyo.
Ukiangalia hii movie utasema kuwa hakuna binaadamu anayeishi kizani milele one day one time basi hii...
10 years ago
Michuzi01 Dec
10 years ago
VijimamboHakuna Mwanaume Rijali Anayeweza kuwa na Mwanamke Mmoja tu
"Mchele mmoja mapishi mbalimbali", utakuta wewe...
10 years ago
GPLSOLOMON MKUBWA KUPAMBA TAMASHA LA HAKUNA MWANAMKE MBAYA
5 years ago
MichuziCHUGAZO-HAKUNA MWANAUME ANAKUWA JUU BILA KUSIMAMA KWENYE MABEGA YA MWANAMKE
10 years ago
Mwananchi17 Apr
Chadema: Hakuna kulala, hakuna kula