WASTARA JUMA AFUNDISHWA KUVAA VIMINI, KWENDA KLABU
![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08ctoqcDCTk*-ccmArtcoeH2-qQmbQPvvCEQuQmxC*c2uBx*ocu1-ur6XARYawd0Pe2ohvhhSfRnCiQ5Uf4iQVdGC/wastara.jpg)
WIKI iliyopita tuliishia pale mwigizaji Wastara Juma alipokuwa akimwelezea mchumba wake wa pili alivyokuwa hajatulia kiasi cha kumchanganya na wanawake watatu tofauti. Leo anaelezea alivyokutana na majanga mengine kwa mwanaume mwingine. ENDELEA KUTOKA ILIPOISHIA… “Huyu mwanamke wa tatu baada ya kuondoka niliomba namba yake kwa mdogo wake huyo mchumba, nikampigia na kumuomba nionane naye. Bila hiyana alinikubalia,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania09 Jul
JUMA KAPONDA: Ninatosha kuvaa viatu vya Prof. Mwandosya
JOTO la uchaguzi mkuu linaendelea kushika kasi, huku kiu ya mabadiliko ikiwagusa wengi, baadhi yao wakitangaza nia ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi.
Mwalimu Juma Kaponda, ambaye ni Ofisa Elimu ya Msingi Mkoa wa Dodoma, ametangaza nia kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwania ubunge Jimbo la Rungwe Mashariki. Fuatana na mwandishi wetu Christina Mwagala katika mahojiano haya, ili kujua kwa undani dhamira ya Kaponda.
Raia Tanzania: Msomaji angependa kufahamu, wewe...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iPu63cE5yCDyYx6-4qmTgqmJ9xRkXY7JsUVzl7hYtT1sv0vBZi6Av1Qm2Z-vDjUiG8LJ6lOgasq68GzK3sbVgSiezPhOB0EG/wastara.jpg)
WASTARA JUMA AZICHAPA NA MUMEWE MAHAKAMANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bt5BWlmh0Gaw-isvQJTNqnF-y1N8LR8VgIyG--jF3j0V4EBKI1OnY*bmvnoDjArDS86KOmmHSpVuEoTUq8ntuvmjmZ94G7u6/steve.jpg)
STEVE NYERERE, WASTARA JUMA ‘DAMDAM’
9 years ago
Bongo524 Oct
Juma Nature: Kwenda international ndio nini?
9 years ago
Bongo504 Dec
Wastara kwenda India kwa matibabu ya mguu ‘niombeeni’
![wastara mguu](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/wastara-mguu-300x194.jpg)
Afya ya muigizaji wa filamu, Wastara Juma bado haijarejea vyema baada ya kufanyiwa upasuaji wa pili wa mguu wake wa kulia nchini Kenya hivi karibuni.
Wastara ameiambia Bongo5 kuwa bado anajisikia maumivu makali hali inayomfanya ajipange kwa safari ya kuelekea nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi.
“Watu waniombee tu,” amesema. “Napata maumivu makali kwenye mguu ambayo yanapanda mpaka kwenye mgongo. Nimetoka Kenya juzi tu kwa ajili ya matibabu lakini bado maumivu makali sana. Tayari...
11 years ago
Michuzi23 Apr
MWAITE JUMA AENDELEZA UBABE CHALINZE,JUMA BIGLEE AMCHAKAZA JACK SIMELA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-wfDmAgx8hhI/VIR_lqW6N6I/AAAAAAAG1vs/7r5pNJDuDX4/s72-c/unnamed%2B(86).jpg)
Dkt Shein aongoza maziko ya Muasisi wa CCM Marehemu Mzee Juma Ameir Juma
![](http://4.bp.blogspot.com/-wfDmAgx8hhI/VIR_lqW6N6I/AAAAAAAG1vs/7r5pNJDuDX4/s1600/unnamed%2B(86).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-uDs6St6Bt4I/VIR_k41oobI/AAAAAAAG1vk/DC6dPZnDRKg/s1600/unnamed%2B(87).jpg)
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Achana na klabu ya Lille ya Ufaransa,hii ndio klabu ya Ulaya inayotajwa kumsajili Mbwana Samatta
Headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta zinazidi kushika kasi, Samatta anatajwa kuwa katika mpango wa kwenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya,mara tu dirisha dogo la usajili la mwezi January litakapofunguliwa. Headlines ambazo zimenifikia kutoka katika mtandao wa www.voetbalkrant.com zinaripo nyota […]
The post Achana na klabu ya Lille ya Ufaransa,hii ndio klabu ya Ulaya inayotajwa...
11 years ago
GPLBAO LA 3 LA SIMBA: JUMA KASEJA VS AWADH JUMA