Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wastara kupamba uzinduzi wa Siwema

MWIGIZAJI wa filamu nchini, Wastara Juma, anatarajia kunogesha uzinduzi wa albamu ya ‘Siwema’ ya mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, George Kayala, unaotarajiwa kufanyika Agosti 9, katika ukumbi wa Kanisa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Waimbaji 14 kupamba uzinduzi wa ‘Siwema’

WAIMBAJI 14 wamethibitisha kuimba katika uzinduzi wa albamu ya injili, ‘Siwema’ ya George Kayala itakayozinduliwa Agosti 9, katika ukumbi wa Kanisa la WRM lililopo Matembele ya Pili Kivule jijini Dar...

 

10 years ago

Michuzi

BONGO MOVIE KUPAMBA UZINDUZI WA KITABU CHA MAREHEMU KANUMBA LANDMARK HOTEL


 
UZINDUZI wa kitabu cha msanii wa filamu hayati Steven Kanumba unatarajia kuandika historia kufuatia maandalizi yaliyopangwa anasema mratibu wa tamasha hilo Mohamed Mwikongi ‘Frank’ amesema kuwa kutakuwa na mambo muhimu sana kwa ajili ya kumuenzi msanii huyo ambaye aliitangaza Tanzania kimataifa.
“Tumepanga kufanya mambo makubwa kwa ajili ya mwenzetu na tunataka ijengeke tabia ya kuenzi wasanii mbalimbali, pesa za uzinduzi wa kitabu hiki utafungua Kanumba Foundation kwa ajili ya kusaidia...

 

10 years ago

GPL

SIWEMA WA NAY MBARONI!

Baltazar Mashaka, MWANZA Mzazi mwenzake staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson (27) ametiwa mbaroni na kusota rumande kwa siku kadhaa akidaiwa kujipatia mali kwa njia ya vitisho kutoka kwa kigogo mmoja serikalini (jina linahifadhiwa kwa sasa). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Naibu Kamishna wa Polisi, Charles Mkumbo. Mei 2, mwaka huu, Siwema alilala ‘nyuma ya nondo’...

 

10 years ago

GPL

SIWEMA, SHAMSA PACHIMBIKA

Imelda mtema
Kazi imeanza! Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ambaye kwa hivi sasa ni mpenzi mpya wa mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na mpenzi wa zamani wa Mbongo-Fleva huyo, Siwema wameanza kuchimbana baada ya hivi karibuni kurushiana madongo. Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ , Siwema. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shamsa aliposti picha na maneno...

 

10 years ago

GPL

SIWEMA AMWANGUKIA NAY WA MITEGO!

Musa Mateja Mwisho wa jeuri? Mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson anadaiwa kumwangukia mwanamuziki huyo ili warudiane walee mtoto wao. Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ Habari kutoka chanzo cha kuaminika ambacho ni ndugu wa Siwema kilieleza kuwa, pamoja na  maneno ya shombo aliyommwagia Nay wakati wanaachana, mrembo huyo kwa sasa ameweka silaha chini...

 

10 years ago

GPL

SIWEMA WA NAY WA MITEGO KORTINI

Musa mateja MAJANGA yamezidi kumkuta mzazi mwenzake na Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson ambapo jana alitarajiwa kufikishwa  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza, kujibu shitaka la kujipatia mali kwa njia vitisho. Mzazi mwenzake na Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson. Siwema anatuhumiwa kujipatia mali kwa kumtishia kigogo mmoja...

 

10 years ago

GPL

NAY: NAJIVUNIA KUZAA NA SIWEMA

Stori: Gladness Mallya MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amefunguka kuwa japokuwa ana watoto wengine wa nje lakini anajivunia kuzaa na mkewe, Siwema kwani walipitia changamoto nyingi kabla ya kupata mtoto. Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ akiwa na mpenzi wake Siwema.
Akichezesha taya na paparazi wetu, Nay alisema katika maisha ya mapenzi yake...

 

11 years ago

GPL

NAY: SIWEMA AKINIBAMBA NA MADEMU ANAZIMIA

Stori: Musa Mateja
STAA wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, hivi karibuni alifunguka kuwa hakuna jambo analoepukana nalo kama kukutwa na mchumba wake, Siwema akiwa na mademu wengine maana huwa anazimia. Akipiga stori na paparazi wetu Desemba 13, mwaka huu, Nay alisema kwamba pamoja na usanii wake wote na kuwa karibu na mashabiki wa muziki wake, amekuwa akijiepusha sana kwenye suala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani